UVCCM taifa wataka mali za Rostam aziz zifilisiwe vinginevyo waapa kufanya maandamano

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,927
22,083
Kwa waliosikia mwanzoni clouds fm jana ingawa nilichelewa kidogonikakuta tu mh mmoja wa uvccm kkwa wakati huo
alishajitaja jina akihojiwa na kuelezea baada ya rostamnani anafwata..kijana huyu alisema sisi kama uvccm
tumeweka wazi swala si kujiuzulu vyeo tunaitaji rostam afilisiwe mali zake zote nyingi amewaibia watanzania
askihirikiana na wah wengine kwenye bunge na wengine waliopo akasita kusema
pengine alikuwa anataka kusema ikulu akapatata kifafa cha mdomo...kijana huyo akasema huu uhuni wa kila mtu anakuja
kufanya ccm kichaka cha kujiimarisha utajiri sisi kama watanzania tunasema imetosha huyu mtu afilisiwe mahakamani na tabia ya rais kikwete kuwasaidia sasa ifike kikomo ajitoe kabisa na ushabiki wa mafisadi kama hawa

akabanwa tena kuhusu waliosalia akasema anasubiri ziishe 120 akadai unajua nec walitoa siku 90 sisi uvccm tumeongeza zetu30 baada yahapo maandamano mtindo mmojaa..hee kumbe na nyie mnajua soln ya matatizo ni maandamano

basi mbarikiwe kwa hili
 
Ehe hee he nicheke mie wapi papa Nape. Safi sana vijana arudishe mali zetu kujiuzulu haitoshi.
 
Hivi Afisa uhusiano rasmi huko UVCCM ni nani?

By the way kumfilisi tuu haitoshi. Anatakiwa kushtakiwa na akipatikana na kosa, ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Hata mimi niisikia taarifa hii kutoka Clouds alijitaja yeye ni m/kiti wa muungano wa wanafunzi vyuo vikuu
ambaye pia ni kiongozi wa UVCCM taifa lakini sikumbuki jina kuwa RA lazima afilisiwe na afikishwe
mahakamani vinginevyo UVCCM wataandamana na wameshapata kibali cha kufanya hivyo.
 
Hata mimi niisikia taarifa hii kutoka Clouds alijitaja yeye ni m/kiti wa muungano wa wanafunzi vyuo vikuu
ambaye pia ni kiongozi wa UVCCM taifa lakini sikumbuki jina kuwa RA lazima afilisiwe na afikishwe
mahakamani vinginevyo UVCCM wataandamana na wameshapata kibali cha kufanya hivyo.

Vijana wote wa nchi hii waungane bila kujali itikadi za vyama vyao wafanye maandamano makubwa nchi nzima ili kuishinikiza serikali kushughulikia matatizo ya nchi nchi hii likiwamo la umeme, mikataba mibovu, ufisadi nakadhalika hata ikibidi kuiwajibisha serikali iachie ngazi kama ikishindwa kushughulikia kero hizo.
 
Hata mimi niisikia taarifa hii kutoka Clouds alijitaja yeye ni m/kiti wa muungano wa wanafunzi vyuo vikuuambaye pia ni kiongozi wa UVCCM taifa lakini sikumbuki jina kuwa RA lazima afilisiwe na afikishwe mahakamani vinginevyo UVCCM wataandamana na wameshapata kibali cha kufanya hivyo.
Hivi kuna mwanafunzi wa Chuo Kikuu asiyejua kipi kianze kati ya kumfilisi mtu na kumfikisha Mahakamani?Hii Nchi ina tatizo kubwa zaidi ya baadhi yetu tunavyofikiri!
 
Hawa waache unafiki wa kisiasa,walikuwa wapi siku zote.Hawa wanafanya pre-empt ili BAVICHA isiibuke.Hizo ni political arrangemets tu.Na kwanza watoe Msimamo wao kuhusu ile list of shame.

UVCCM nawashauri,acheni kuwa mbeleko ya wanasiasa,acheni kuwa makuwadi wa ufisadi.Ninyi ni mhimili muhimu katika kukishinikiza chama chako na serikali yake katika kutetea maslahi ya vijana na taifa kwa ujumla.

Semeni msimamo wenu kuhusu hizi tuhuma za Rostam na connection iliyopo katika kumuhusisha mwenyekiti wa chama chenu Mh.Jakaya Kikwete
 
hivi tatizo rostam au tatizo asili yake, kwani wangapi wametafuna pesa za watanzania na hawa uvccm hawakuandamana,,sababu za kumfilisi wanazo? au wanaleta siasa za maji taka, hawana msimamo kama mbwa jike
 
Back
Top Bottom