Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Luhende, ameahidi kuhakikisha anaboresha sekta muhimu za maendeleo ikiwemo barabara, afya, elimu, kilimo na...
Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa...
Nimepata part of you clip blaming Polepole for his past deeds. Kweli uko sahihi, tena sahihi sana!
Kwangu mimi nalichukuia hivi:
Kwa sasa tuna Simba mla watu ameingia kijijini anakula watu...
Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa.
Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa...
Kuhani, Mfalme na Jemedari: Mizani ya Nguvu Tatu Zinazoamua Hatima ya Taifa
Na Mwandishi Wetu
Utangulizi: Nguvu kama Mhimili wa Historia
Katika historia ya mwanadamu, hakuna jambo lililoathiri...
Nchi yetu Sasa imeingia katika Hali ambayo nadhani haijawahi kukithiri Kwa kiasi hiki Toka Maraisi wote waingie Madarakani. Kwasasa kumekuwa na Ufisadi wa Kutishwa unaofanywa wazi wazi.
Licha ya...
Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini
Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi...
Yanayojili hivi sasa kwa Humphrey polepole wengi hawajayachukulia serious kutokana na kuonekana hayupo sawa katika afya ya akili, hivyo basi kama upo karibu naye hakikisha anaweza kupatiwa...
Tangu Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipozindua kampeni zake za uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 katika uwanka wa Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kuhusu ahadi...
Msikilizeni huyo shuhuda.
Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho.
"Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki...
Nafahamu mwenyekiti mstaafu wa Chadema Mh Mbowe alikuwa na utamaduni wa kuwafuata Vijana wa vyuo vikuu na kuwaleta Chadema ndio hawa akina Zitto, Silinde, Kafulila, Nassari, Halima, Juliana...
Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa...
When The Axe Came Into The Forest, The Trees Said: 'The Handle Is One Of Us'
So true. Sometimes the greatest damage comes from within, when those closest to us unknowingly (or knowingly) enable...
Katika majira haya yenye kelele zisizo na ala, tunalazimika kunyoosha antenna zetu kupokea kile ambacho hakijasemwa wazi. Japo mitetemo ya chini ya ardhi haionekani kwa macho ya kawaida...
Je, Unahitaji YAS 4G au 5G UNLIMITED Router?
Kwa ajili ya Ofisi au Nyumbani kwako?
Karibu sana tukuhudumie Leo,
📢 YAS 4G+ Pocket Mi-Fi @ 120,000/=
✔️ Kifaa / Pocket ni Tsh. 50,000/=
✔️...
Mwabukusi, Rais TLS, hali ya mahakama za mwanzo ni ya kusikitisha. Kuna wanasheria uchwara wengi. Rais Mwabukusi, sijui kama unajua hali hii hapa Ukonga? Katika mahakama za mwanzo, zipo ofisi za...
Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya...
Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa...
Kuna wasomi wanawake Kikwete amewabeba awamu yake ya urais kutokana na harakati zake alipokua kiongozi wa wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam. Mtu kama Asharose anajua sana kingereza, ni msomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.