Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel...
Kama atakutwa na hatia ya uhaini na kupewa msamaha wa Rais atakuwa na sifa za kugombea udiwani, ubunge, urais na cheo kingine chochote. Kama lengo ni kumzuia kugombea urais tumnyonge au tumwache...
Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma...
Mbowe alizoea kuishi kwa siasa za kilaghai siasa kupitia damu za watu na kutengeneza wealth. Alivyokuja mwamba Magufuli akaona kumbe upinzani wanapiga kelele then unawaita Ikulu unawapa bahasha...
Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu.
Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama.
Upi ulikuwa msimamo wake...
Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena!
Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao...
"Mtu mwenye akili akikushauri jambo la kipumbavu nawe ukafanya, atakudharau"- J.K Nyerere
Mwaka 2023 nchi nzima iligawanyika sana.
Watu wanamtetea MAMA na mradi wake wa DP World.
Vinara wa huu...
Kumekua na kelele nyingi kuhusu huu muhimili wa mahakama kupokea maelekezo kwenye kesi ambazo serikali inakua na interest .
Tuliona kwenye kesi ya Mbowe pamoja na kukutwa na kesi ya kujibu lakini...
Hamjambo!
Bila kuwa na maneno mengi. Ni hakika katika nchi yetu kama ingekuwa zamani basi leo hii tungekuwa na Nabii aitwaye Tundu Antipas Lissu.
Anatimiza vigezo vyote vya kuwa Nabii...
In fact kujiuzulu ni ushamba. Kwanza unajiuzulu ili umuuachie nani ulichokitafuta mwenyewe kwa nguvu na jasho lako usiku na mchana kwa niaba ya waTanzania wote? Lakini pia unajiuzulu ili uende...
Kiufupi hii nchi Kwa Sasa Kuna watu wamepata pesa nyingi sana ,kupitia ufisadi wa kiserikali kuliko walivyopata pesa nyingi kupitia madawa ya kulevya huku nyumba, huko zikiwa zote hizi ni...
Lissu kua mwenyekiti wa Chadema ilikua big mistake sana kwa sisi CCM hapo ndo tulitakiwa kuboresha siasa na kubadilika kuja kwenye siasa za kweli za kushindana kwa hoja kutoka na karne hii ya...
Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na...
Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???
Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.
Sasa...
Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣
Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri...
TAREHE 28 AUGUST,2026 Mahali WAKILI HOUSE.Tutakuwa na Mjadala Muhimu kuhusu Demokrasia katika Taifa letu na Namna bora ya kutoka hapa tulipo.
Tufuatilie Kupitia Wakili.tv na tutawatangazia vituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.