Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,251
Reaction score
44,586
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
 
Vita nzuri upigane ukiwa ndani ya adui ilimradi tu ujue namba ya kuishinda na mbinu za kuishinda
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Nina ndugu yangu ni MNEC na kigogo lakini tangu kipindi cha Jiwe yupo CCM kimwili akiamini kwamba mabadiliko ya kweli yatapatikana kwa "mapigano" ndani ya CCM.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Kuna tofauti kubwa kati ya kumkubali Nchimbi na kukubali alichokisema Nchimbi. Mtu anaweza kuikubali hoja ya Nchimbi bila kumkubali Nchimbi mwenyewe au kumkubali Nchimbi bila kuikubali hoja yake.

Hata mwendawazimu akisema 2+1=3 hatuwezi kukataa simply kwa sababu aliyesema hivyo ni mwendawazimu. Bila kujali nani kasema, the equation 2+1=3 is true!
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba Nchimbi amekuwa kinara wa kutetea haki za wanaharakati kukosoa nchi yao.

Nimejikuta najiuliza hisia ya shangwe na furaha na hata kupokea kwa matumaini kauli za Nchimbi kulinganisha na ile ya Rais Samia zinatokana na nini. Inawezekana kweli Watanzania ni wasahaulifu hivi? Au watu wanafikiri CCM imebadilika kiasi hiki au watu wanaombea kuwe kweli kuwe na mgongano ndani ya CCM?

Ila kama kweli Nchimbi ameokoka kweli ...

AACHIE NGAZI, AJIUZULU KWANZA!!!
Naam
 
Akijiuzulu anapoteza kinga nyingi na yanaweza mkuta yaliyomkuta Polepole. Asijiuzulu abaki humo humo....hilo la kujiuzulu simshauri hata kidogo. Abaki ndani ndo vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom