Zidumu fikra za Mwenyekiti

Zidumu fikra za Mwenyekiti

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,910
Reaction score
6,503
Nisingeishi China nisingeamini hii.

Wachina katika mikutano yao ya Chama: walikuwa wanasimuliana stori za namna hii;

Mtu anasema, kwa mfano,
kwamba alikuwa anaendesha gari,gari ikaharibika, akajaribu kuitengeneza, akashindwa. Halafu akachukua kitabu cha Mwenyekiti Mao, akasoma kidogo, halafu akajaribu tena kuitengeneza gari, gari ikawa nzima.
Mgonjwa hospitali anapona kwa fikra za Mwenyekiti.

Mashine kubwa viwandani zinafanya kazi kwa fikra za Mwenyekiti.
 
Siyo hivyo tu.
Mwenyekiti Mao mwenyewe,Chama kiligombana naye,wakamfukuza,akawa under house arrest.
Alipokuwa pale akawa anasoma tu maandiko yake mwenyewe aliyoaandika.
Halafu akawa reinstated in the Party.
Akawa anasema haya maandiko yangu ndiyo yaliniokoa.

Ilikuwa ni kawaida kwa mkulima akisifiwa kwa bumper harvest, promptly anasema hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kufuata mawazo ya Mwenyekiti Mao.
 
Unadhani ni jambo gani linasababisha Bunge la nchi fulani kuhalalisha,Kwa mfano,ushoga?
Ni kwa sababu wale mashoga wenyewe wanachaguliwa kuwa Wabunge na wakienda kule wanazibadili hizo sheria.

Kwa hiyo ni jambo la hatari sana kama kiongozi katika ngazi yoyote ya Jamii akiwa choko. You can be sure ataleta mambo ya kichoko. Akiwa choko au akiwa mhalifu wa aina yoyote ni hatari mtu huyo kupewa uongozi.

Kwa hiyo tunakuwa na haya matatizo,fallen angels,degraded people wanting to bring everything down to their own level.
 
Ushoga ni threat kuliko utekaji? Uuaji? Ujambazi na ufisadi? Hebu acha kuuzungumzia ushoga.
Mxxxiiieeew.
 
Back
Top Bottom