PostGE2025 Maridhiano wanayomaanisha CCM ni yale ya Mbowe na Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Heche

Member
Joined
Dec 10, 2025
Posts
49
Reaction score
107
1. Kwanza kutumika na CCM kupoteza watu wenye maono wanaochipukia ndani ya chama. Yani Mbowe alimtoa kafara Ben saanane yeye anajua, Mungu anajua na Atalipia yeye na kizazi chake. Hasa watoto wake.

2. Kukaa kimya kuchaguliwa cha kusema na kufanya. Sasa wanampeleka wanavyotaka.

3. Kupambana na wapinzani.
 
SEMA HAWA NDUGU WA VIDOLE VIWILI HEWANI, WALIFANYA MAAMUZI YAO WENYEWE. WAKAMTOA MWAMBA KWENYE NAFASI YA UWENYEKITI, SASA HIVI WANAMKUMBUKA NA KUMISS USTAARABU WAKE. MNAUMIA SANA MWANA ALIVYO WALIA BATI. MBOWE MTOTO WA MJINI , KAWAPA KIJITI MASELA WA SINGIDA
 
1. Kwanza kutumika na CCM kupoteza watu wenye maono wanaochipukia ndani ya chama. Yani Mbowe alimtoa kafara Ben saanane yeye anajua, Mungu anajua na Atalipia yeye na kizazi chake. Hasa watoto wake.

2. Kukaa kimya kuchaguliwa cha kusema na kufanya. Sasa wanampeleka wanavyotaka.

3. Kupambana na wapinzani.

Heche kweli au unatumia jina lake kwa makusudi?
 
1. Kwanza kutumika na CCM kupoteza watu wenye maono wanaochipukia ndani ya chama. Yani Mbowe alimtoa kafara Ben saanane yeye anajua, Mungu anajua na Atalipia yeye na kizazi chake. Hasa watoto wake.

2. Kukaa kimya kuchaguliwa cha kusema na kufanya. Sasa wanampeleka wanavyotaka.

3. Kupambana na wapinzani.
maskini dah,
pole kwa kunyanyasika kisaikolojia gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom