Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wana jamii, kwasababu hii au ile nimejilazimisha kukaa muda mrefu kidogo bila kupost. Nadhani tunatembea kwenye tope kama taifa bila nuru ya mwanga. Tumefikia mahali tunaongozwa na watu...
1 Reactions
4 Replies
113 Views
CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti. Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye...
5 Reactions
34 Replies
314 Views
Sheikh Mziwanda akiwahutubia waumini na wananchi waliohudhuria Maulid ya Kitaifa yaliyofanyika Mnazi Mmoja amesema maendeleohayawezi kupatikana kwa njia ya fujo wala matusi, bali kwa kushikamana...
0 Reactions
2 Replies
26 Views
SAMIA: Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka za Sikukuu ya Maulid. Kumbukizi ya siku hii njema ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) itukumbushe kuendelea kuishi kwa upendo...
2 Reactions
17 Replies
191 Views
MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi. Maandamano makubwa yenye...
24 Reactions
253 Replies
10K Views
Mh magufuli amemchagua bi samia suluhu kuwa mgombea mwenza kwa kuzingatia uswa wa kijinsia, uzanzibar na kubalance chama kupata kura upande wa zanzibar....vuai hussein mwinyi bilal kwaher...ila...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi...
142 Reactions
423 Replies
32K Views
Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa...
4 Reactions
126 Replies
23K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
7 Reactions
121 Replies
13K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada...
64 Reactions
885 Replies
80K Views
Wanabodi, Katika siku hii ambayo Job Ndugai amejiuzulu, wewe kama mtanzania umeguswa kwa njia ipi?. Mimi nimejionea jinsi ambavyo tunakosa maono binafsi kutoka kwa viongozi waliopewa ridhaa ya...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Antipas Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini ambapo leo Agosti 24, 2026 amesimama Mahakamani kuendelea kujitetea. Tundu Lissu ameiambia...
13 Reactions
44 Replies
617 Views
Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa...
3 Reactions
7 Replies
137 Views
Hii kesi ya uhaini ya Lissu ni drama tu zinazotengenezwa na serikali na viongozi wake. Ukweli ni kwamba hadi sasa serikali ya CCM inamuona Lissu kuwa tishio kubwa sio tu la kuiondoa CCM...
0 Reactions
7 Replies
127 Views
Ujumbe huu nimeukuta mtandao wa Twitter(x) mwandishi hajaongeza neno lolote zaidi ya picha Nakaribisha tafakari
0 Reactions
0 Replies
118 Views
……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29. Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa. Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda...
29 Reactions
21 Replies
424 Views
Wadau genge la Samia ni genge la wafiraji, watekaji na mafisadi, je wenye akili tuwaase wajitenge nalo?
0 Reactions
2 Replies
44 Views
Back
Top Bottom