Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais.
It's useless to have the PM as...
Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47)...
Lengo kuu la Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya 2007 limeainishwa katika kifungu cha 4 cha Sheria hii ikiwa ni kuhakikisha ustawi wa utawala bora na kuondoa rushwa nchini. Ili...
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Wakili, Boniface Mwabukusi, amesema kwa sasa Taifa linahotaji haki, ukweli na uwajibikaji, mambo ambayo amesema yatawawezesha watanzania kufahamu...
Dada mange huyu mwenzetu alipigwa risasi kifuani alafu wakamgonga na gari ili kupoteza ushahid, hii ni Tarime, hii siku wamemleta marehemu vijana walikua na uchungu atari. Tulikuwa tunalia huku...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amesema mchakato wa kidemokrasia umeonyesha kwa dhahiri kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chaguo la walio wengi katika nafasi ya Urais wa...
Kilichofanyika ni kutoa asante kwa Mwigulu Nchemba na kumpa Uwaziri Mkuu! Mwigulu anafahamika kwa kiburi cha madaraka (arrogance) na kujikomba kwa wakuu wake. Kinachofuata ni kutapanya mali na...
Wakuu naona wabunge wengi huwa na CV za kuunga unga sana kumbe wengi huwa wanaeenda kusoma wakiingia bungeni, mwisho wanapita tu kimchongomchongo mara unasikia ana PhD.
==
Katika mahojiano na...
Huyu dada, very ambitious, alidhani kuwa kwa kukubali kutumiwa kwake basi pengine atapanda ranks na kuwa mtu mkubwa zaidi ya cheo alichozawadiwa. Matokeo yake akaligeuza bunge kuwa chawa wa rais...
Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali...
Ndugu Wana Jamii
Kwa mtizamo wangu - baada ya kuteuliwa kuwa mbunge ni wazi kuwa sasa Dr . anaenda kwa waziri wa sheria Tanzania.
Kina Rose naona wanaanza kuisoma namba ya Makufuli.
Leteni...
Wanabodi,
1. Mh. Dotto BITEKO (Huyu alianza kuandaliwa mapema sana)
2. Mh. Prof. Kitila Mkumbo (Huyu alihusika katika kuandaa Dira ya Taifa na Ilani ya Chama)
3. Mh. Bashungwa (Mtoto pendwa wa...
Ifahamu serikali isiyokubalika ipo tu Ikulu na bungeni kwasababu wananchi hawajachukua majengo yao, hawa hawawezi kusimama mbele ya umma hata mmoja tangu machafuko ya Oktoba 29 ambapo kumetoa...
Aliyekuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde ameomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumpatia Gari ambalo alipewa kama mmoja wa...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemchagua Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sillo amechaguliwa leo Novemba 13, 2025 kwa kupata kura zote za...
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa...
Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa...
Baada ya bunge kuhairishwa leo, wananchi kwa umoja wetu tunatoa pongezi za dhati kwa Dr. Tulia Ackson, Naibu Spika..
Dr. Tulia kaliongoza bunge kwa speed and standard. Ameonyesha ujasiri...
Kuna ushahidi bila shaka kwamba tume ya uchaguzi inapika data na kupiga kura ni kiini macho tu. Pili hakuna democracy hata kwa wateule wa ndani ya chama tawala wamejaza ndugu, machawa na marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.