Wanabodi,
1. Mh. Dotto BITEKO (Huyu alianza kuandaliwa mapema sana)
2. Mh. Prof. Kitila Mkumbo (Huyu alihusika katika kuandaa Dira ya Taifa na Ilani ya Chama)
3. Mh. Bashungwa (Mtoto pendwa wa Namba 1 ndiyo Waziri aliyehudumu wizara nyingi tofauti tofauti kwa kipindi kifupi sana)
4. Mh. William LUKUVI (Huyu ni Mkongwe na mzoefu zaidi kuliko mawaziri wote - ila umri umeenda)
5. Mh. Prof. Palamagamba Kabudi - (Huyu ni guru katika medani za siasa na Sheria - ila umri umeenda)
6. Mh. Tulia Akson (Huyu ni endapo itatokea)
Nawasilisha