Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Duniani kuna uzao wa shetani. Hao walitokana na mashetani yaliyozini na wanadamu, wakazaliwa viumbe wenye sura na maumbile ya wanadamu. Hao viumbe kazi yao kubwa...
Huyu dada nimependa Simulizi zake. Sijamtaja jina sababu simjui ila aliyoyaongea 50% nilishawahi kusimuliwa.
Je, ni kweli ili uwe Mbunge wa CCM Kilwa lazima uue mpinzani wako?
Watu wa Kilwa...
Kwanini mwezi huu, mwaka huu pesa za serikali zinalipwa mabilion kwa mabilioni? Kuna Nini?
BOT imetekwa na hazina watu wanalipa malipo mengi hewa
TISS kitengo Cha fedha chafu mmelala?
Nchi...
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila mtu binafsi, shirika, na mwanajamii aliyesimama nasi wakati huu mgumu sana. Usaidizi wenu usioyumba, huruma, na juhudi zenu zisizochoka ziliwapa nguvu...
Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini, Wakili Samwel Welwel maeneo ya Kibaoni Arusha, akiwa anaelekea kijijini kwao Karatu. Amepelekwa...
Kama kweli kuna nia ya kuliponya hili taifa basi kesho hiyo hiyo wangetolewa wooooteeeee bila kujali walivunja nini!
Maana kama kukosea wooote tumekosea sio Rais, sio vyombo vya dola, sio...
Shekh huyu amesema ni lazima Maridhiano lazima yafanyike na lazima tukubali na hapa si maridhiano ya wanasiasa ninachokisema maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini...
Hivi eti Mtanzania mwenzangu hiyo nguvu ya kubaki unawaangalia tu vibaka wakiiba na kubomoa Mali za watu na za serikali uliitoa wapi?
Mbona wezi wa kariakoo huwa mnawashughulikia ilikuwaje watu...
Nilikuwa sijawahi kuutafakari sana huu msemo. Sikuelewa kwanini kwa waoga wacheke na mashujaa walie. Sasa nimeelewa.
Wapo wanaochekeana na kupongezana..wanapigiana saluti na kugongeana "high...
Tunajiunga katika maombolezo na jamii na familia zote za Watanzania waliopoteza wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu.
…………………….
Soma Pia: Ubalozi wa Denmark watoa pole kwa waliopoteza wapendwa...
Bunge la Tanzania linapaswa kufuata best practice katika mchakato wake wa kuthibitisha uteuzi wa mtu fulani kuwa Waziri Mkuu. Kwenye nchi za wenzetu wenye mifumo thabiti ya kidemokrasia, mteule...
"Tunatoa wito wa uchunguzi huru na usio na upendeleo kuhusu Mauaji ya Oktoba 2025, unaoongozwa na Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika. Mwanga wa ukweli na uangaze kila kitendo cha kikatili, kila...
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance...
UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote.
Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa
KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kususia uchaguzi siyo suluhisho la kupambana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani hakijali chochote, bali njia pekee ni kupambana...
Leo, tarehe 13 Novemba 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ametuma salamu kwa watumishi wa umma waliokuwa wavivu, wazembe na wala rushwa, akiwahakikishia kuwa...
Rais wa Zanzibar, Dokta Hussein Ali Mwinyi, leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura ya mabadiliko na uwiano wa kisiasa, akiongeza idadi ya wizara hizo kutoka 18 hadi 20.
Katika orodha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.