Uchaguzi 2020 Tulia Ackson ameshashindwa kabla hata kampeni hazijaanza

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,832
18,592

Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako CHADEMA?

Je, utaweza kuiba kura za wananchi wa Mbeya?

Ushauri:
Tulia tafuta kingine cha kufanya, achana na ubunge Mbeya. Wenyewe hawakutaki, usidanganywe na RC Chalamila hawezi kukusaidia lolote.
 
CHADEMA ina nguvu sana Nyanda za juu kusini. Na siku zinavyozidi kwenda ndo inazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi. Waliotunga propaganda kuwa Chadema ni Chama cha kaskazini wamefeli vibaya sana kwa kweli.

Nina uhakika wa asilimia 99 kuwa Magufuli anaweza asipate hata kura 500 Nyanda za Juu kusini.
 
Chadema ina nguvu sana Nyanda za juu kusini. Na siku zinavyozidi kwenda ndo inazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi. Waliotunga propaganda kuwa Chadema ni Chama cha kaskazini wamefeli vibaya sana kwa kweli.

Nina uhakika wa asilimia 99 kuwa Magufuli anaweza asipate hata kura 500 Nyanda za Juu kusini.
Walishafeli eti chama cha wachaga. Wakati wabunge wake wako Mbeya, Tunduma, mara, singida na Dar es salaam
 
Shetani fisiem anabaki tu kusema kiunyonge, "ooh Chadema msidanganywe na mafuriko, mbona Dr Slaa hata Lowassa walijaza mafuriko lakini mafuriko yale hayakupiga kura" Hivi fisiem nani aliwadanganya Magu alishinda 2015?

Upumbavu mliofanya 2015 wa kuiba kura na kumpa huyo yesu wa lugola mwaka huu haupo! Iba kura tuchinje mmoja baada ya mwingine, sanduku la kura liheshimiwe, tutaua mtu, hakuna kumwachia Mungu tena, Mungu ana mengi ya kufanya hawezi kukaa mbinguni atutatulie kero zetu za kuibiwa kura afu tumwachie yeye.

Hicho kigezo cha kusema mafuriko ya upinzani ni bure hawapigi kura ila ya ccm ndo yanapiga kura sijui mnatumia formula gani
 
Back
Top Bottom