Spika wa Bunge Dkt. Tulia: Udaktari wa Musukuma siyo wa Kisomo, ni wa Heshima tu

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.

Spika Tulia akalitolea ufafanuzi suala hilo, akisema watu wajue kutofautisha, Mb.Musukuma alipewa Udaktari wa heshima tu, kwahiyo Udaktari wake siyo wa kisomo.

Ikumbukwe Mb. Musukuma anafahamika zaidi kwa kuchangia hoja zenye mashiko na vijembe vya kuchekesha bungeni.

Kwa kauli hii spika anaona Udaktari wa heshima si chochote kwenye nyanja ya taaluma.

Kwahiyo Mb. Musukuma hastahili kuwekwa kwenye poti moja na Madaktari wa Kisomo (falsafa).

Screenshot_20220623-143003_1.jpg
 
Kuna maneno mtu mwenye nafasi fulani akiyasema hubadilika kuwa wingu la moto ambalo mwisho wake kila mtu hubaki kusema mwee. Nikweli madam Spika amesema ila ukweli huu utamtesa japo anangoz ngumu ila hii ni acid. End
 
Yuko sahihi kwa hili, Musukuma waga ana hoja nzuri sana, ndiyo maana wasomi ndani ya Bunge wanamuogopa

Wamamuogopa kwa sababu alisema mahakama ya ufusadi wamejaa wasomi walishitakiwa. Hakuna darasa la Saba hata mmoja aliyepelekwa pale. Bsli nyie wasomi ndo mmejaa.
 
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.

Spika Tulia akalitolea ufafanuzi suala hilo, akisema watu wajue kutofautisha, Mb.Musukuma alipewa Udaktari wa heshima tu, kwahiyo Udaktari wake siyo wa kisomo.

Ikumbukwe Mb. Musukuma anafahamika zaidi kwa kuchangia hoja zenye mashiko na vijembe vya kuchekesha bungeni.

Kwa kauli hii spika anaona Udaktari wa heshima si chochote kwenye nyanja ya taaluma.

Kwahiyo Mb. Musukuma hastahili kuwekwa kwenye poti moja na Madaktari wa Kisomo (falsafa).

View attachment 2269716
Kwa style hii ni Bora nchi ikaongeza idadi ya madaktari wa heshima kuliko hawa wa kisomo kina TULIWA tusiojua wamesoma nini.
 
Msukuma husemaga yeye ni darasa la saba yaani mhitimu wa shule ya msingi standard seven
 
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.

Spika Tulia akalitolea ufafanuzi suala hilo, akisema watu wajue kutofautisha, Mb.Musukuma alipewa Udaktari wa heshima tu, kwahiyo Udaktari wake siyo wa kisomo.

Ikumbukwe Mb. Musukuma anafahamika zaidi kwa kuchangia hoja zenye mashiko na vijembe vya kuchekesha bungeni.

Kwa kauli hii spika anaona Udaktari wa heshima si chochote kwenye nyanja ya taaluma.

Kwahiyo Mb. Musukuma hastahili kuwekwa kwenye poti moja na Madaktari wa Kisomo (falsafa).

View attachment 2269716

Value ya usomi wa mtu ni contribution yake katika society, sio paper qualifications alizokusanya. Kama hana contribution yenye tija katika society huyo msomi ni worthless.

Tunao wasomi wengi wenye PhD ambao ni worthless. Hata wakiacha kujiita doctors ni sawa tu. Wameiangusha sana nchi hii na bado wanapata opportunities za kuendelea kuiangusha!
 
Back
Top Bottom