Dr. Tulia Ackson kupokewa Dar kwa shamrashamra, ni baada ya kulisimamia bunge vyema

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Baada ya bunge kuhairishwa leo, wananchi kwa umoja wetu tunatoa pongezi za dhati kwa Dr. Tulia Ackson, Naibu Spika..

Dr. Tulia kaliongoza bunge kwa speed and standard. Ameonyesha ujasiri, ukomavu, hekima na busara ya hali ya juu katika hili bunge...

Wananchi tumejipanga kukupokea kwa shamrashamra hapo kesho kutwa utakapowasili Dar es Salaam..

Hongera sana mzalendo na mpigania haki za wanyonge!
 
Nakuona! kizazi cha JF 2015 tukijiandaa kwa kampeni za uchaguzi.
Wananchi muliona wapi akisimamia vizuri wakati halikuonyeshwa? Tufikie hatua tujifunze kutumia akili zetu badala ya kushangilia ya wengine tuuu.

Iko siku mutashangilia kuku kuwika wakati ni kazi yake.
 
Baada ya bunge kuhairishwa leo, wananchi kwa umoja wetu tunatoa pongezi za dhati kwa Dr. Tulia Ackson, Naibu Spika..

Dr. Tulia kaliongoza bunge kwa speed and standard. Ameonyesha ujasiri, ukomavu, hekima na busara ya hali ya juu katika hili bunge...

Wananchi tumejipanga kukupokea kwa shamrashamra hapo kesho kutwa utakapowasili Dar es Salaam..

Hongera sana mzalendo na mpigania haki za wanyonge!
Sasa nyinyi maccm mtampokeaje kada mwenzenu wa CCM kwa shamrashamra na maandamano, wakati Bosi wenu Magu kasema kasitisha shughuli zote za siasa hadi mwaka 2020?!

Au ndiyo tuseme nyiye CCM mmekuwa exempted katika hiyo STOP aliyopiga Magu?
 
Nakuona! kizazi cha JF 2015 tukijiandaa kwa kampeni za uchaguzi.
Wananchi muliona wapi akisimamia vizuri wakati halikuonyeshwa? Tufikie hatua tujifunze kutumia akili zetu badla ya kushangilia ya wengine tuuu.

Iko siku mutashangilia kuku kuwika wakati ni kazi yake.

Kwani bunge si ilikuwa inaonyeshwa Mkuu...

Wananchi wengi walikuwa makini kufuatilia vipindi vya usiku... Sema wewe ndio ulikuwa huwezi kufatilia usiku
 
Dah! Uandikaji huo ndugu! Nimekuelewa. Nimepata sababu ya mapokezi yako.
 
Baada ya bunge kuhairishwa leo, wananchi kwa umoja wetu tunatoa pongezi za dhati kwa Dr. Tulia Ackson, Naibu Spika..

Dr. Tulia kaliongoza bunge kwa speed and standard. Ameonyesha ujasiri, ukomavu, hekima na busara ya hali ya juu katika hili bunge...

Wananchi tumejipanga kukupokea kwa shamrashamra hapo kesho kutwa utakapowasili Dar es Salaam..

Hongera sana mzalendo na mpigania haki za wanyonge!
Na leo ndio kafunga kazi kwani katoa uamuzi mwingi sana na swala la Lugumi ndio limekwisha na kubaki kutolewa kwa ushauri baadhi ya mambo madogo.
Kazi ya leo aliyoifanya huyu Mwanamke wa shoka hamtapata hasara kwenda kumpokea na kumpa shime.
 
Back
Top Bottom