Tanzania Episcopal Conference (TEC) walitoa TAMKO kuhusu matendo ya UTEKAJI na MAUAJI ya raia (Mkuranga, Kibiti, Rufiji - MKIRU) wakati wa JPM.
TEC walilaani matendo ya vurugu na mauaji. Walisema...
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu.
Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba...
Tuko salama!
Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao.
Gen z wao huwezi mletea...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini.
Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi...
Wakati Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama “Baba Levo,” akila kiapo cha uaminifu Bungeni, amejikuta akirudia kiapo hicho baada ya Spika wa Bunge, Mhe...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ameunga mkono wito wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, wa kufanyika kwa uchunguzi huru kuhusu vifo na...
Hii ni moja ya video na picha ambazo zimegusa mioyo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Inaonyesha mama aliyeonekana kutabasamu huku akimwaga machozi wakati wa kumuaga mtoto wake aliyeuawa...
GT
Mkiambiwa nchi inaongozwa na watu.wa hovyo ni kama hilo zee.
Hili zee ni role model ya wabunge vijana huko linapaka superblack mvi zisionekane hovyo kabisa
Nimekutana na hii Video ya Mama mmoja akitoa heshima ya mwisho kwa mtoto wake
MAMA Strong sana huyu, Imagine yupo kwenye Majonzi lakini anafurahi, MUNGU aendelee kumpa Nguvu huyu Mama
Soma >...
WKumekuepo na hoja za Udini hizi ni hoja mfu ambao wanaozitumia ni wale walioishiwa hoja na uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho au hawajui wa nachokisema
Binafsi mimi naamini MUNGU yuko lakini...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameongea kwa uchungu ,hisia na utulivu mkubwa sana katika hotuba...
Unajua mauaji yaliyotokea katika ulimwengu wa roho yalipangwa?
Muaji alishakubariana katika ulimwengu wa roho ili aweze kutoa kafara ya sadaka, kwa wanaotizama kwa jicho la tatu hilo wanalijua...
Mpo salama!
Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati.
Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine.
Round hii, Lisu...
Unamfahamu rais wa Botswana? Botswana ni nchi hii ilioko Kusini mwa Afrika, haina bandari na ina idadi ya watu zaidi ya milioni mbili unusu. Zaidi nchi ndiyo inazalisha almasi kwa wingi barani...
Akiwa anazungumza leo Dodoma Tanzania Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema
"Rais Samia amejitambulisha kama Rais anayetaka matokeo ya haraka yanayotatua matatizo ya Watanzania"
Simulizi ya mkesha wa Christmas 1986
Vijana watatu waliokuwa wanatoka kwenye mkesha walikutana na binti aliyekuwa anakimbia huku akiomba msaada
Wakamsimamisha na kumhoji lakini mioyoni mwao wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.