Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote 2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini...
0 Reactions
132 Replies
6K Views
Kutoka na wabunge 99% kuwa ni chaguo la Mamlaka na sio wapiga Kura, hivyo uwezo wa Bunge hili kuisimamia sirikali ni mdogo au tuseme hakuna
2 Reactions
0 Replies
115 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu. Kwa hakika Mwamba Mwenyewe Wa kaskazini Paul Makonda anapendwa , kukubalika na kuaminika sana. Huyu...
2 Reactions
41 Replies
1K Views
Siri Kali Chumbani Mwangu Serikali iko ndani mwangu, Inapanga jinsi ya kulea wana wangu, Vijiko vya sukari jikoni kwangu, Hata aina ya fikra za mke wangu. Sera kali zote dhidi yangu, Hakuna tena...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge mteule wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson akijitambulisha Bungeni leo.
3 Reactions
31 Replies
946 Views
Courtesy: MMM Martin Maranja Masese, Mtikila - X Twitter page: Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania (Bunge la 12) ni Shs 380 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu katika...
1 Reactions
1 Replies
483 Views
Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo iliahirishwa...
11 Reactions
31 Replies
2K Views
31 October 2025 Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025 https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit...
2 Reactions
19 Replies
929 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Akizungumza leo Agosti 20, 2025 kwa njia ya Mtandao, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema Taifa halitakiwi kuishi kwenye makovu, bali Wadau wanatakiwa kuzungumza...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Hizi nguo baiskeli kofia za hiki chama zilikua zinavaliwa Kila mara huku kwetu ila baada ya kufika tarehe 29 zilikua zimepotea ghafla yaani imekua bidhaa hadimi basikeli hazionekani nguo...
3 Reactions
27 Replies
960 Views
Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa, Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri...
5 Reactions
24 Replies
777 Views
Akizungumza na Wanahabari leo, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Nondo amesema inapaswa kutolewa fidia kwa watu walipoteza wapendwa wao kutokana na kuwawa katika maandamano, lakini waliopata...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
Tarehe 9 December maandamano yafanyike nchi nzima kama yalivyo pangwa na idadi ya watu iwe kubwa sana kwenye maeneo tutakayosema baadaye. Mimi binafsi ninahitaji watu kati ya 1000-2000 wanaoweza...
0 Reactions
3 Replies
241 Views
Kufuatia kuanza rasmi kwa shughuli za Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi jijini Dodoma wametoa wito kwa Wabunge kuachana na tabia ya ushabiki na kusifia kila jambo...
1 Reactions
3 Replies
226 Views
Why indefinite hairisho? Angalau hata kusema after 14 days ya kisheria! Mh? Haya
2 Reactions
9 Replies
390 Views
Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa kupitia kwa Katibu Muenezi wa BAVICHA Taifa, Felius Festo kinimi watoa tamko juu ya yaliyotokea yaliyotokea Oktoba 29, 2025, "wameharibu msingi wasitafute wa...
3 Reactions
5 Replies
241 Views
Heche na Genge lako ,mko kwenye Kikaango!!. Sikilizeni Wananchi na Wanachama wenu. Taifa Lina Msiba mzigo sana, tunazika Kila siku, mbaya zaidi Ndugu zetu wengine Miili yao Imeteketezwa. Aiseee...
10 Reactions
29 Replies
795 Views
Habari wakuu… Lengo la uzi huu sio kumbananga mbunge kwa ulemavu wake. Lengo ni kuomba kufahamishwa namna ambavyo mbunge yule wa viti maalum kutokea Zanzibar ambaye ni kiziwi atakavyokuwa...
3 Reactions
9 Replies
350 Views
Nimesikitishwa na press release ya Chama Cha Mawakili wa Serikali (TPBA) ya 12 November 2025. Katika hiyo press release, TPBA inadai (pamoja na mambo mengine) kwamba maandamano ya 29 October 2025...
6 Reactions
4 Replies
345 Views
Back
Top Bottom