Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Closed
  • Sticky
Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo...
294 Reactions
0 Replies
1M Views
  • Sticky
Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo...
58 Reactions
1K Replies
470K Views
  • Sticky
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia...
69 Reactions
6K Replies
426K Views
  • Closed
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na...
26 Reactions
7K Replies
920K Views
  • Closed
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini...
185 Reactions
10K Replies
880K Views
Habari wakuu, Kama tunavyofahamu leo tarehe 14 Desemba 2014 ni siku ya upigaji kura kwa ajili ya kuwapata viongozi wetu kwa ngazi ya serikali za mitaa Tanzania Bara, Muda si mrefu tutaingia...
116 Reactions
4K Replies
866K Views
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka...
115 Reactions
10K Replies
824K Views
Wakuu habari, Tunawaletea kinachojiri kwenye Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma. Fuatana nasi... Karibuni sana. ================== Updates: 1. Sasa mchakato unaanza rasmi, Wajumbe kamati...
82 Reactions
6K Replies
809K Views
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo. Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge...
97 Reactions
5K Replies
615K Views
Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKARA wilayani Ukerewe. Wakazi wa Ukerewe...
55 Reactions
5K Replies
534K Views
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni...
19 Reactions
5K Replies
528K Views
Bado uchambuzi wa safari ya Kisiasa ya Dr. Willibrod Slaa unaendelea... Tumepelekwa moja kwa moja kutoka Hoteli ya Serena, JamiiForums imenituma kama mwakilishi wake. Mtangulizi wa shuguli...
55 Reactions
6K Replies
507K Views
Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi.. Mwenye habari kamili atujuze. ====== UPDATES...
85 Reactions
3K Replies
484K Views
Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma...
78 Reactions
4K Replies
472K Views
Kwa wale wapenzi, washabiki, wanachama na wananchi kwa ujumla wanaopenda kufahamu kinachoendelea katika mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM katika viwanja vya Jangwani watapata update hapa...
18 Reactions
5K Replies
454K Views
Hatuwezi kuendelea kukaa kimya. Taifa letu linaaibika vibaya sana. Wahusika wanajulikana. Wametajwa mara nyingi na mbinu wanazozifanya kwa kutumia wasanii wa kizazi kipya na waigizaji almaarufu...
56 Reactions
1K Replies
443K Views
  • Closed
UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu...
48 Reactions
3K Replies
441K Views
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip...
143 Reactions
3K Replies
424K Views
Leo ni August 1,2015 Wanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchi nzima wanakusanyika katika maeneo ya matawi yao kuchagua mgombea mmoja atakayeshindana na wagombea wengine kutoka vyama tofauti na...
21 Reactions
2K Replies
413K Views
Habari wakuu, Leo tunamaliza ngwe yetu ya mwisho bungeni, baada ya wasilisho la ripoti ya PAC, majibu ya serikali na mjadala wa wabunge wa jana, moja kwa moja kutoka Dodoma tuwe pamoja kuimaliza...
42 Reactions
5K Replies
401K Views
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo. Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally. Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo...
43 Reactions
3K Replies
386K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka jiji la Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
17 Reactions
2K Replies
378K Views
Habari za hivi punde zinasema Rais Magufuli amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga. Sababu kubwa ni kuwa Waziri Kitwanga kaingia bungeni akiwa amelewa na akaenda jibu swali...
37 Reactions
3K Replies
362K Views
Back
Top Bottom