Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Magazetini

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
588
1,698
Habari wakuu,

Kama tunavyofahamu leo tarehe 14 Desemba 2014 ni siku ya upigaji kura kwa ajili ya kuwapata viongozi wetu kwa ngazi ya serikali za mitaa Tanzania Bara, Muda si mrefu tutaingia kwenye awamu ya pili ya utangazaji matokeo baada upigaji kura, tutasaidiana hapa kukusanya matokeo kadri yanavyotolewa.

Kuanzia leo saa 10:15 alasiri matokeo yanaanza kutangazwa kwa sehemu ambazo wagombea wamepita bila kupingwa na tutaendelea na sehemu ambazo uhesabuji wa kura umekamilika.

====================
=
attachment.php

Korogwe vijijini CCM imeshinda vijiji 117, CDM 2, CUF 1. Bado vijiji 2. Korogwe Mjini CCM imeshinda mitaa na vitongoji vyote kwa 100%.

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Songea mwisho; CCM imepata mitaa 70, CHADEMA 23 na CUF 2.

Matokeo wilaya ya Kyela. Vijiji 93: Matokeo yaliyo vijiji 67, CCM 62 na CDM 5. Vitongoji 411, vilivyo tayari 257; CCM 214 na CDM 43.

MATOKEO KATA YA SINZA:- MTAA SINZA "D" MKT CCM 453, CDM 283 WAJUMBE WOTE CCM. MTAA SINZA "E" MKT CCM 566, CDM 222 WAJUMBE WOTE CCM.

MATOKEO KATA YA SINZA:- MTAA WA SINZA "A" MKT CCM 430, CDM 354. SINZA "B" MKT CCM 439, CDM 253. SINZA "C" MKT CCM 583, CDM 244.

Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mtwara Manispaa: Jumla ya Mitaa ni 111: CCM imeshinda mitaa 58 na CUF wamepata 53.

Mufindi, Iringa Mitaa; 30 Chadema 1 Ccm 29 Vitongoji: 606 Chadema 9 Ccm 597 Vijiji 128: Chadema 1 Ccm 127

SHINYANGA MJINI Vitongoji: 83 CCM = 65 CDM= 18 78.3% VIJIJI: 17 CCM= 14 CDM= 03 82.5% MITAA: 55 CCM = 26 CDM= 29 47.2% Kata 4 kwa 100%.

Matokeo ya jumla Iringa manispaa, CCM mitaa 130 ukawa 52.

Matokeo Chalinze. VITONGOJI Jumla 610 Bila kupingwa 303 Uchaguzi 262 Ushindi 242 Sawa na 90% CUF 10 CDM 10 Tutarudia 45.

Matokeo Chalinze VIJIJI Jumla 75 Bila kupingwa 38 Uchaguzi 29 Ushindi 29 Sawa na 100%

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Singida mjini: Mitaa yote vimechagua CCM.

Kutoka Dodoma, Kata ya Majengo mitaa yote CCM Imeshinda




Monduli; Kitongoji Kambi ya Mkaa

CHADEMA 27
CCM 13

Mwanga Mtaa wa Lwami;

CHADEMA 55
CCM 35

Arumeru Magh. Kitongoji Endulele

CHADEMA 170

CCM 130

Ushirombo mjini;

CHADEMA inaongoza vitongoji 10
CCM inaongoza vitongoji 4

Moshi Manispaa; Kitongoji Longuo A

CHADEMA 206
CCM 66

Mbozi Mtaa wa Mbugani

CHADEMA 227
CCM 160

Mbozi; Mtaa Masaki

CHADEMA 99
CCM
Wilaya ya Kyela
KITONGOJI CHAMA KILICHOSHINDA

Butiama- CHADEMA
Kyela kati -CHADEMA
Roma -CHADEMA
Mikoroshoni -CCM
Mbugani -CHADEMA
Nazareti -CHADEMA
Unyakyusa -CCM
Kapwil- CCM
Itunge mashariki -CCM
KEIFO -CCM
OROFEA -CHADEMA
SAMA B -CCM
Mikumi -CHADEMA
Mwaikambo -CHADEMA
Kilasil- CCM
Mkombozi -CHADEMA
Bondeni A-CCM
Bondeni B-CHADEMA
Itunge-Mundekesye CHADEMA

NB Uchaguzi uliopita WAPINZANI HAWAKUPATA viti zaidi ya 5 Kyela lkn uchaguzi huu watapata viti vingi mno,hii ni dalili mbaya sana kwa CCM uchaguzi mkuu mwakani


Monduli; Kitongoji Kambi ya Mkaa

CHADEMA 27
CCM 13

Mwanga Mtaa wa Lwami;

CHADEMA 55
CCM 35

Arumeru Magh. Kitongoji Endulele

CHADEMA 170

CCM 130

Ushirombo mjini;

CHADEMA inaongoza vitongoji 10
CCM inaongoza vitongoji 4

Moshi Manispaa; Kitongoji Longuo A

CHADEMA 206
CCM 66

Mbozi Mtaa wa Mbugani

CHADEMA 227
CCM 160

Mbozi; Mtaa Masaki

CHADEMA 99
CCM 44

Kigoma Mjini; Mtaa wa Gezaulole

CHADEMA 240
CCM 198

Ukonga- Mtaa wa Kivule Majohe

CHADEMA 231
CCM 77

Musoma Vijijini- Kijiji cha Muhoji

CHADEMA 197
CCM 464

Ubungo- Mtaa wa Msewe

CHADEMA 683
CCM 356

Kinondoni- Mwenge Nzasa

CHADEMA 344
CCM 318

Tarime Forodhani boda (kitongoji)

CHADEMA 289
CCM 90

Tarime Forodhani Kijiji

CHADEMA 312
CCM 99

Monduli Mto wa Mbu Kijiji Jangwani

CHADEMA 147
CCM 124

Mwanga Kitongoji Mgagao

CHADEMA 56
CCM 32

Rorya- Mtaa Ngasaro

CHADEMA 480
CCM 360



Arumeru Mash. Mtaa wa Manyata

CHADEMA 168
CCM 91

Ubungo- Mbezi Yusuph
CHADEMA 190
CCM 163

Mwanga- Mtaa Mtahang'a
CHADEMA 116
CCM 73

Ilemela- Mtaa wa Pasiansi
CHADEMA 689
CCM 247

Karatu- Mtaa Mazingira
CHADEMA 290
CCM 130

Karatu Mtaa wa Maliasili
CHADEMA 240
CCM 77

Karatu- Mtaa wa Manyara
CHADEMA 220
CCM 170

Tarime Mtaa wa Bugosi
CHADEMA 438
CCM 138

Tarime Mtaa wa Regoryo
CHADEMA 191
CCM 75

Segerea Mtaa wa Migombani
CHADEMA 547
CCM 225

Mamlaka ya Mji mdogo Shirati-Rorya ina mitaa 9
CHADEMA mitaa 7
CCM mitaa 2

Mererani mitaa 8
CHADEMA mitaa 7
CCM mtaa 1
MOROGORO MJINI: Mtaa wa Kiswanya "A" : CCM kura 115 CHADEMA kura 112.

Tarime; Mtaa wa Bhughucha


CHADEMA 135
CCM 123


Tarime; Mtaa wa Buhemba


CHADEMA 104
CCM 50


Tarime; Nyarusahi


CHADEMA 197
CCM 54


Tarime;National


CHADEMA 170
CCM 130


Tarime; Kijiji Nyabitocho


CHADEMA 899
CCM 315


Segerea; Migombani


CHADEMA 547
CCM 225


Huko Mvomero hadi sasa kati ya Vijiji 20 vya awali


CHADEMA Vijiji 15
CCM Vijiji 5


Vijiji hivyo 15 ni; Sarawe, Lungo, Kidudwe (nyumbani kwao mbunge wa Mvomero), Mndelwa, Masili, Ndugutu, Lukunguni, Mwalavi, Mvomero, Bumu, Madizini, Doma, Mlali, Tchenzema na Nanyinga (nyumbani kwa Mwenyekiti wa Halmashauri- CCM).
-Matokeo wilaya ya NACHINGWEA.
Kitongoji cha raha leo, CCM kura 60 na Chadema 59.
Kitongoji cha amani CCM kura 35 na CDM 9.
-Matokeo ya Uchaguzi:
KIJIJI CHA MNYUNE CCM 207 na CDM 20.
na
Monduli magharibi CDM 76, CCM 199.

-Matokeo ya Uchaguzi Arusha:
Monduli mjini mashariki CDM 57, CCM 88 na Mtaa wa Sabasaba CDM 84, CCM 172.
-Matokeo ya Uchaguzi Arusha:
Monduli mjini mashariki CDM 57, CCM 88 na Mtaa wa Sabasaba CDM 84, CCM 172.

-Matokeo ya Uchaguzi:
Kitongoji cha Mandela kata ya Mkalama CCM imeshinda kwa kura 240 na cdm 196.
-Matokeo ya Uchaguzi: Kitongoji cha kichangani kata ya gairo mjini ccm 260 na cdm 115 zilozoharibika 2.


Magu Mjini: CHADEMA mitaa 10, CCM mitaa 7
 

Attachments

  • matokeo.jpg
    matokeo.jpg
    54 KB · Views: 73,721
Magamba Qushney kazi yao iliyobaki ni mapingamizi.

Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mbeya kikiendelea kupata ushindi katika matokeo ya awali katika uchaguzi wa serikali za mitaa huku vyama vya upinzani vikifuata kwa mbali

Kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotelewa na Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya, Mwangi Kundya, yanaonesha kuwa, chama hicho kimefanikiwa kuzoa idadi kubwa ya vijiji hadi sasa.

Akitangaza matokeo hayo mbele ya waandishi wa habariKundya amesema matokeo ya awali katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya lenye mitaa 181, CCM imefanikiwa kupata mitaa 106, Chadema71, NCCR-Mageuzi mmoja.

Wilaya ya Chunya yenye Vijiji 86,ambapo vijiji vilivyokamilisha hesabu ni 74, CCM ilipata vijiji 67 , Chadema vijiji 7, wakati kwa upande wa vitongoji, CCM ilipata vitongoji 270, huku Chadema ikiambulia vitongoji 18.
Wilaya ya Ileje jumla ya vijiji vyote ni 71 ambapo vijiji 32 vimekamilisha matokeo yake, ambapo CCM imepata vijiji 23, Chadema vijiji 9, ambapo kwa upande wa vitongo….

Wilaya ya Kyela vijiji vyote 93 vimekamilisha matokeo yake, ambapo CCM imepata 79,Chadema 13 , huku uchaguzi wa kijiji kimoja kurudiwa ambapo kwa upande wa vitongoji 469, CCM vitongoji 377, Chadema 88, wakati vitongoji vine uchaguzi kurudiwa.

Wilaya ya Mbarali jumla ya vijiji 102, CCM 81,Chadema 16 ambapo vijiji sita vitafanya uchaguzi wa marudio, ambapo kwa upande wa vitongoji jumla ni 713, ambapo CCM imeshinda vitongoji 570 , Chadema ikiambulia 79 na vitongoji 36 matokeo yake yalikuwa bado.

Wilaya ya Mbozi, vijiji vilivyopo ni 125 ambapo kati ya hivyo 92 matokeo yake yalikuwa tayari ambapo CCM imepata viti 84 na Chadema imepata vijiji nane, huku vijiji 33 matokeo yalikuwa bado, kwa upande wa vitongoji 664, CCM imepata 557 na Chadema 110, CUF viwili,TLP ikiambulia kiti kimoja.

Wilaya Rungwe jumla ya vijiji 155 , CCM imepata 132,Chadema 22, CUF kimoja na vijiji vitano kufanya marudio, wakati upande wa vitongoji vilivyopo ni 694,CCM 578,Chadema 111,CUF 2 na TLP viwili.

Wilaya ya Momba ambayo matokeo yake yamegawanywa katika sehemu mbili kutokana na wilaya kuwa na Halmashauri ya mji wa Tunduma.

Ambapo kwa upande wa vijiji jumla ni 72, CCM imepata vijiji 43,Chadema24 na vijiji vitano kufanyiwa marudio, wakati kwa upande wa vitongoji, jumla ni vitongoji 302, CCM 189, Chadema 53 na vitongoji 60 matokeo yake bado.

Kwa upande wa mitaa katika Halmashauri ya mji wa Tunduma jumla ya mitaa ni 71, CCM imechukua mitaa 25, wakati Chadema imeongoza kwa kupata mitaa 46, hivyo kulazimika kuunda Halmashauri ya mji.

Wakati matokeo ya Wilaya hizo yakipatikana katika mkoa wa Mbeya kwa upande wa Wilaya ya Mbeya Vijijini matokeo ya awali yameshindwa kutolewa kutokana na utata wa hesabu, lakini pia Jografia ya wilaya hiyo kuwa na changamoto ya mpangilio wake.

Hata hivyo, habari za uhakika zinadai kuwa katika uchaguzi wa mamlaka ya mji Mbalizi, CCM imepata vitongoji viwili, huku chadema ikipata vitongoji 10 kati ya 12 hivyo kuwa na uhakika wa kuunda baraza la mamlaka ya mji.
 
kama sio mafindofindo uchaguzi ungetupa highlights za 2015 hata hivyo tutatathmini huko ulikofanyika huko usikofanyika hatuwezi kutathmini
 
He! analia!!?
kweli kumbe kuna ulaji!!
enzi zile za mchonga, angelia!?? watu walikuwa wanang'ang'anizwa kuchukua uongozi kwa nguvu lakini walikuwa wanakataa!! leo hii wanalia!!!? mh!!
Kuna kitu kinautwa political entrepreneurship mtu anawekeza mtaji kwenye siasa ndo mambo unayoona
 
Kutoka Ikungi jimbo la Singida mashariki ccm hawatapata hata 20%
Ukawa inasomba kuanzia vijiji na vitongoji.
Kuanzia saa 11 nitawapa matokeo halisi
Safi sana, msisitizo: anza na hapo ikungi mjini, upande mahambe nyumbani kwa kina njau na Lissu.
 
116 Reactions
Reply
Back
Top Bottom