Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

mwanamke tulifunga ndoa nae kiserikali anadai talaka kila kukicha ,anatoroka hatimaye ,baada ya mwaka unagundua anaishi na mwanaume mwimngine maeneo fulani na wanataka funga ndoa nyuma...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wapendwa WanaJF, Tanzania Bara ina Mawakili wa kujitegemea 1,188 tu kwa takwimu za hadi Desemba 15, 2009 (Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi). Kwa kuwa Mawakili wengi sana wanapenda kuishi Dar es...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaajamiiForums, kuna sheria hii mpya ambayo imekuaa signed na Mh. JK Nov, 2009 ina mambo mengi mazuri kwa maslai ya mtoto wa kitanzania, hasa kumlinda kwa mambo hatarishi kama yalivyo oanishwa...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova. Ripoti ya timu iliyoundwa na Jeshi la Polisi nchini kuchunguza mauaji ya raia Octavian...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
tafadhali naomba mwenye software ya CPA R.E 2002.maana nimeshafuatilia pale kwenye duka naambiwa hamna sijui mpaka uweke order kabisa,nimeshaweka order na namba ya simu, nimefuatilia mpaka...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ahusishwa na mauaji ya kada wa CCM Akamatwa baada ya kushuka kwenye ndege Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Leonard Bandiho Bihondo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Steven Monjeza kulia na mkewe Tiwonge Chimbalanga Friday, May 21, 2010 3:00 AM Wanaume wawili wa nchini Malawi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamii Naomba wajuzi wa sheria wanijuze juu sheria ya kazi ya Tanzania inavyosema juu ya mfanyakazi anaeumia kazini au kuugua muda mrefe pasi kufanya kazi! Compensation zake zikoje na ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajamii naombeni msaada, kuhusu Tax Law hasa kwenye ishu ya property, je ni kweli kwamba mstaafu kwa hapa tanzania yupo exempted kulipa kodi kwa mapato yatokanayo na rent ya nyumba yake...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Juma tatu na interview y alegal clerk......hivi wanaweza wakauliza maswali gani......halafu kampuni ina sheria nyingi yaniinafanya kazi kwenye vipengele kama 10 vya sheria inamaana watauliza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu mimi nipo nje ya nchi naomba Katiba ya kwetu Tanzania inayozungumzia mahakama ya Kadhi na uhalali wake na pia kama mtu anakatiba za Tanzania ambazo iliyofanyiwa marekebisho na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
JAJI wa Mahakama Kuu, Fredrica Mugaya amemtahadharisha Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dk Maua Daftari kuwa hata kama akifanya mbinu ya ucheleweshaji, hukumu ya kesi dhidi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nina tatizo moja kuhusu sheria za kazi hususani hapa kwetu Tz. Sijui kwingine zikoje lakini nafahamu kuwa wengine hufanya kazi kwa mikataba ambapo ukiisha kila upande una hiari ya...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Viongozi Nimekutana na kizungumkuti weekend hii nilipoenda kwa serikali ya mtaa kuomba wanijazie form flani na si mgeni kwenye mtaa ule na viongozi wananifahamu. Lakushangaza nilielezwa nipite...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tusilalamike tu, tutafute mwarobaini wa rushwa Na Mhariri Maoni ya katuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sheria inasemaje inapotokea mwanaume ameishi na mwanamke kwa kipindi cha mwaka na wakazaa mtoto? Uhusiano wao hapo awali ulikuwa ni wa kirafiki zaidi kwani watu hawa hawakufunga ndoa ya aina...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
A Christian street preacher was arrested and locked in a cell for telling a passer-by that homosexuality is a sin in the eyes of God By Heidi Blake Published: 1:05PM BST 02 May 2010 Dale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kesi ya kutoa lugha ya uchochezi na kudai kuwa Rais Jakaya Kikwete ni gaidi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la upande wa mashitaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
28th April 2010 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Absolom Mwakyoma. Vuta nikuvute iliibuka jana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…