Maelezo juu sheria ya ajira tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maelezo juu sheria ya ajira tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by enstein1, May 19, 2010.

 1. e

  enstein1 Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Wanajamii

  Naomba wajuzi wa sheria wanijuze juu sheria ya kazi ya Tanzania inavyosema juu ya mfanyakazi anaeumia kazini au kuugua muda mrefe pasi kufanya kazi! Compensation zake zikoje na ni wajibu wa nani mifuko ya hifadhi like NSSF au muajiri?

  Nataka kusaini mkataba wa kazi lakini swala hili silielewi kidogo.

  Many thanks
   
Loading...