Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Editorial Cartoon Ipo tabia moja isiyopendeza ambayo inaonekana kujirudia katika jamii yetu. Ni matukio matatu sasa ambayo yameripotiwa ambapo walimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salama wana JF!Niliuziwa kiwanja mbele ya adv. Kwa kupitia bank, kumbe hakina njia (sala2,DSM)nikatoa adv.20m,muuzaji amenizungusha,sasa sikitaki nataka mwanasheria atakaye recover hy pesa nimpe 2m.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kuhusu uingizaji wa malori nchini kutegemea miaka ya gari. Je ile sheria ya kuingiza magari yasiyozidi miaka 10 nchini nayo inahusu malori ya kubebea mizigo? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ni nini maana ya mwanasheria?.Je kuna kiwango cha elimu mtu anatakiwa afikie katika hiyo sheria ili aitwe mwanasheria?,Je watu wote wanaofanya kazi katika field hiyo ya sheria hata kama wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hivi ni nini madhara ya hii shera hasa ukiuunganisha na haki za binadamu? :rolleyes:
1 Reactions
6 Replies
8K Views
A Murder Mystery : A must read For those who have served on jury... this one is something to think about... Just when you think you have heard everything!! Do you like to read a good...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
K agoma kusaini sheria mpya *NI YA KAMPUNI ZA SIMU KUJISAJILI SOKO LA HISA DAR Ramadhan Semtawa BAADA ya kusaini Sheria ya gharama za uchaguzi ambayo imegubikwa na utata, Rais Jakaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KATIKA hali ya kuonekana kuna msongamdano wa wafungwa gerezani hali iliyopelekea kuwea keo serikali imeamua wafungwa hao kutumikia kifungo cha nje ili kuepuka msongamano huo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tujadiliane kwa kueleweshana kisheria katika haya ambayo yamekuwa kero kwa baadhi yetu tukiwa barabarani: NINI Mamalaka ya askari na haki ya raia?? Polisi akiwa barabarani anatokea ghafla...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Majaji waitoa jasho serikali kortini Dar • RUFAA YA MGOMBEA BINAFSI na Happiness Katabazi NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, amedai kuwa hakuna mahakama yoyote nchini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
JE WAWEZA KUMPIGA PICHA YA VIDEO POLISI APOKUCHUNGUZA AKAMUACHA SALAMA?? Hivi ndivyo inavyokuwa ngumu kwa Polisi kupeleleza baadhi ya kesi si tu kutokana na kukosa vitendea kazi, bali pia hofu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, leo asubuhi nilikuwa nikisikiliza BBC swahili ambapo walikumbushia sheria ya mwaka 1998 ya ubakaji ambapo mwanaume ndiye anahukumiwa... Sasa kutokana na mwanamke mmoja kufungwa kifungo cha...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Jamaa alikosa kuuawa na wananchi kwa tuhuma ya wizi kule Magu.Wiki ilopita akaripotiwa na police jamii kwa sms police Morogoro bada ya kuonekana akiishi Kilosa na sasa yuko mahabusu Kilosa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The House of Representatives yesterday approved the bill seeking to bar Zanzibar courts from seizing and auctioning Isles government property when it fails to comply with court orders to pay...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukitaka meza wembe, Chenge haguswi Na Mbasha Asenga “SAFARI hii tumekuwa makini sana katika kufikia mkataba na Rites kuendesha TRL,” hii ilikuwa ni sehemu tu ya kauli ya aliyekuwa Waziri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa TLP, Augustine Mrema akizungumza katika mkutano na waandishi wahabari jijini Dar es Salaam jana juu ya kumfungulia kesi ya madai Spika wa Bunge, Samwel Sitta katika Mahakama Kuu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ruhsa Kujiua Ukitimiza Miaka 70...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MSM Consulting Ltd v United Republic of Tanzania [2009] 123 Con LR 154 QBD This case is concerned with estate agents seeking payment for finding a property for the Tanzanian High Commission in...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WASHINGTON - Hours after President Obama signed sweeping health-care legislation into law Tuesday, the Senate began a debate on another piece of the package, giving Republicans one last chance to...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
So, now what? Relieved Democrats may still be celebrating the passage of landmark health care overhaul legislation, but Republicans in the Senate still have an opportunity to try to derail...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom