Urgent katiba ya tanzania inayozungumzia mahakama ya kadhi

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Habari wakuu mimi nipo nje ya nchi naomba Katiba ya kwetu Tanzania inayozungumzia mahakama ya Kadhi na uhalali wake na pia kama mtu anakatiba za Tanzania ambazo iliyofanyiwa marekebisho na hatakama haijafanyiwa marekebisho zote anaweza kunitumia. Pia na Ule waraka wa kwetu ambao ulikwenda kwa Serikali pia naomba anitumie haraka

Asanteni
 
Unamaanisha nini hapa OP?...Au waraka wa kanisa Katoliki kwa Serikali?...Usiumeume maneno bana, this is a "Place Where We Talk Openly"
 
Ok Pakajimmy Ni ule wa katoliki Mkubwa si unajua unajisahau dont worry bana najua umeelewa. Nilikuwa ile Katiba inayosema Mahakama ya Kadhi ilikuwepo katika Katiba Please nitumie mudahuu tafadhali wakubwa
 
Shukurani zako MziziMkavu natumai umezipata hizi salaam. Bado Waraka wa Katoliki kama unao pia nauhitaji

Kwa ufafanuzi, nakala ya Kiswahili ya Katiba toleo la 2000 halina mabadiliko ya mwaka 2005, hivyo soma pamoja na Sheria ya Mabadilko ya Katiba (Constitution Amendments 2005 (attached). Kwa nakala ya Kiingereza toleo la mwisho ni la 2005 ambalo linamabadiliko yote (attached). Kuhusu Waraka wa Rumi - Tz waweza pata katika mtandano ebu chek hapa http://chahali.blogspot.com/2009/07/waraka-wa-kanisa-katoliki-unaopigiwa.html

View attachment CONSTITUTION AMENDMENTS -2005.pdf

View attachment 9781

Kila la kheri.
 
Kwa ufafanuzi, nakala ya Kiswahili ya Katiba toleo la 2000 halina mabadiliko ya mwaka 2005, hivyo soma pamoja na Sheria ya Mabadilko ya Katiba (Constitution Amendments 2005 (attached). Kwa nakala ya Kiingereza toleo la mwisho ni la 2005 ambalo linamabadiliko yote (attached). Kuhusu Waraka wa Rumi - Tz waweza pata katika mtandano ebu chek hapa http://chahali.blogspot.com/2009/07/waraka-wa-kanisa-katoliki-unaopigiwa.html

View attachment 9780

View attachment 9781

Kila la kheri.

Asante mkuu nami pia nimefaidika kwa kupata taarifa hizi!
 
Back
Top Bottom