je huu ni ugoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je huu ni ugoni?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by clemencemlai, May 6, 2010.

 1. c

  clemencemlai Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mwanamke tulifunga ndoa nae kiserikali anadai talaka kila kukicha ,anatoroka hatimaye ,baada ya mwaka unagundua anaishi na mwanaume mwimngine maeneo fulani na wanataka funga ndoa nyuma aliacha mtoto 1.je naweza kumfungulia mashitaka mwanamke au huyo mwanaume na kwa utaratibu upi?
   
 2. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu yeyote akitaka ndoa ya serikali jua kabisa hayuko commited kwako
   
 3. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muone Kiongozi wako wa kididni .Muone na Mwanasheria/wakili kama huna uwezo waoine humani right wanatoa msaada wa kisheria bure . je mulishirikisha wazazi/ pia waone
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Suala la kufunga ndoa ya kiserikali ni moja, lakini hapa kuna shida kubwa zaidi, ambayo ni huyo mwanamke kudai talaka kila kukicha...!..
  Huoni hapa kama wewe una tatizo hapo ndani?...

  Unamfanya nini mtoto wa watu hadi aishie kudai talaka kila kukicha?..

  Hata ukishitaki, madai yako nini?...

  Arudi nyumbani au?...

  Angalia na kushughulikia shida iliyopo kwenye mahusiano yenu ya ki'matrimonial kwanza kabla ya kumshitaki huyo mama, usikute amekimbia kuokoa maisha yake!...huh!
   
 5. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,759
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Sheria yetu ya Ndoa ya mwaka 1971,inaitambua ndoa ya kiserikali kama doa halali.Hata hivyo si wewe binafsi au kiongozi wa dini mwenye uwezo wa kutoa talaka.Ni mahakama tu ambayo ni taasisi yenye kuvunja ndoa.Pia sheria ya ndoa inasisitiza uwepo wa sabau za msingi zenye kudhibitishwa na mwomba talaka ili kufikia hatua ya kuvunja ndoa.Kwakuwa sababu kubwa hapa ni ugoni,huo ni ushahidi ambo mahakama yaweza kuridhika na kuivunja ndoa.Kuhusu kumshtaki mwanmke au mwanume.Unazo njia mbili.Kwanza waweza kufungua shauri la madai ukimdai fidia huyo mwanaume kwa kutembea na mke wako.Pili waweza kufungua shuri mahakamani ukiomba mahakama ivunje ndoa.Lakini lazimakwanza ufuate hatua za awali kama sheria inavyoelekeza.Au pia hilo shauri la kuvunja ndoa waweza kuliunganisha na shauri la madai kwa mwanaume,yaani kuwashtaki wote kwa pamoja.Pole sana.
   
 6. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #6
  May 14, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Very educative and well explained. Kwa maaana hiyo ndoa zooote ambazo wanandoa wamepatiana ambazo hazikupita mahakamani ni BATILI
   
 7. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,759
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280

  Kama unamaanisha talaka huo ndo ukweli.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  talaka ukipewa na kiongozi wa dini lazima ukaisajili au ukapewe nyengine serikalini (niseme).....
   
 9. c

  clemencemlai Member

  #9
  May 16, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mtu yeyote akitaka ndoa ya serikali jua kabisa hayuko commited kwako 1+1=11 kama ukitoa ufafanuzi zaidi ya ulichoandika hapo itaoa maelekezo ja jinsi mtu husika annavyo weza kuchukua tahadhari ya ain ipi ya ndoa ndio inayopaswa kufuatwa na kuondoa mashaka . pia eleza kwa takwimu aina zipi za ndoa zenye kiasi kidogo cha mitafaruku.
   
 10. c

  clemencemlai Member

  #10
  May 16, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Suala la kufunga ndoa ya kiserikali ni moja, lakini hapa kuna shida kubwa zaidi, ambayo ni huyo mwanamke kudai talaka kila kukicha...!..
  Huoni hapa kama wewe una tatizo hapo ndani?...

  Unamfanya nini mtoto wa watu hadi aishie kudai talaka kila kukicha?..

  Hata ukishitaki, madai yako nini?...

  Arudi nyumbani au?...

  Angalia na kushughulikia shida iliyopo kwenye mahusiano yenu ya ki'matrimonial kwanza kabla ya kumshitaki huyo mama, usikute amekimbia kuokoa maisha yake!...huh! -------- WATOLEE MAELEZO WASOMAJI ILI WAELEWE BADALA YA KUBAHATISHA MAJIBU YA MASWALI YAKO
   
 11. d

  damn JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ambazo hazifungiwi nira na lesseni ya ndoa, yaani zile zinazofungwa na LOVE between the two parties.
   
 12. c

  clemencemlai Member

  #12
  May 26, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndoa zinazo funganishwa na love?? uchocholoni pakutorokea hoja. owa eh. what s love ? in the sense of cause and effect analysis, of all tempt to discuss all about the said love have not yet reached conclusion until to date .stick to the statement of the problem then
   
Loading...