Wajumbe wa mashina na uongozi wa serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajumbe wa mashina na uongozi wa serikali

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Yetu Macho, Apr 19, 2010.

 1. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Viongozi

  Nimekutana na kizungumkuti weekend hii nilipoenda kwa serikali ya mtaa kuomba wanijazie form flani na si mgeni kwenye mtaa ule na viongozi wananifahamu. Lakushangaza nilielezwa nipite kwanza kwa mjumbe wa shina ndiye anaetakiwa aniadikie barua kabla ya kwenda kwa serikali ya mtaa. Niliivutana na wao kuitaji ufafanuzi zaidi wa ni ipi nafasi ya mjumbe wa shina kwenye uongozi wa kiserikali bila mafanikio. sasa naileta hapa wakuu mnipe shule kidogo
  1. Je, viongozi wa mashina wananafasi yeyote ktk mtiririko wa uongozi wa kiserikali?
  2. Ni yapi majukumu ya viongozi wa shina? Hawa ni viongozi wa chama au serikali?
  3. Kama hawa ni viongozi wa chama na si serikali, je ni hatua gani zinaweza chukuliwa dhidi ya watu hawa wanaolazimisha watu kupata baraka za serikali kupitia viongozi wa vyama vyao?
  4. Je, kama viongozi hawa ni viongozi wa serikali, wanachaguliwa au wanateuliwa? wanachaguliwa kwa ucha uchaguzi gani au wanateuliwa na mamlaka gani?

  Naomba uelimishaji hapa.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  See Local Government (District Authorities) Act 1982
   
Loading...