Help plz.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help plz....

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by vkeisy2006, May 13, 2010.

 1. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Juma tatu na interview y alegal clerk......hivi wanaweza wakauliza maswali gani......halafu kampuni ina sheria nyingi yaniinafanya kazi kwenye vipengele kama 10 vya sheria inamaana watauliza maswali kwenye kila kipengele msaada wenue jmanai am so .......woooooh
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,573
  Trophy Points: 280
  vkeisy2006, you are not serious, kama umeziona hizo sifa za a legal clerk na umejiona unazo, hapa unauliza ili usaidiweje, huko sio kutojiamini huko?. Au hizo sifa hauna, unaomba kazi ili kubahatisha, kuna kazi zinahitaji professionalism fulani sio za kubahatisha!.

  Kama lengo lako ni skills za kujibu job interviews zilishawekwa humu siku nyingi, kama shida yako watu wakuambie utaulizwa nini na hivyo vipengele hujaviweka, watu wakusaidieje?.

  Usiwe na shaka, kwa avatar yako ilivyo, hiyo pannel kama ina wanaume wengi kuliko wanawake, wewe hata usipojibu kitu, waangalie machoni mmoja baada ya mwingine, nakuhakikishia hiyo kazi umepata, ila angalizo tuu ni kuwa na ile kazi nyiongine pia lazima uifanye!.
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ebu kuwa makini hata unapoomba msaada wa wenzako kukusaidia bana. Hapa hata kama weye ungeweza kumsaidia mtu kwa kuzingatia maelezo kama haya yasiyojtosheleza?.

  • Umeitwa kwa interview (wapi??)
  • kampuni ina sheria nyingi zaidi ya 10 (zipi??);
  • watauliza maswali kwenye kipengele kipi (??)
  Nadhani cha msingi ni kujiandaa kwa kupitia sheria zote zinazohusu hiyo kampuni na masuala ya jumla yahusuyo hiyo nafasi uliyoomba. vinginevyo ni vigumu kupata msaada kwa staili hii ya uulizaji (is kind of fishing question).
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jiamini tu mambo yatakuwa safi kabisa ..
   
 5. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  dada yangu napata wasiwasi kuwa wewe ni kile kizazi cha tuisheni mpaka masterz yako full kusaidiwa na mwalimu wa tuisheni...sasa hapa ulipofikia ndipo ilee elimu mtaani dot com inatakiwa kutumika na wala haina desa wala mwalimu wa tuisheni...hapa unatakiwa kuihakikishia dunia 1+1= 11 na sio 2 kama ulivyokaririshwa shuleni...

  pole sana ila kazi unayo...maana napata picha hata huelewi uliomba kazi gani maana hata hayo maswali utakayoulizwa kwenye interview huyajui au hukuwahi kuyasomea chuoni....

  my doggg...naskia sikuhizi mitihani ya university kuna wataalamu wakulipwa kuwafanyia wenzao exams...soooo..NAOMBA NIKAKUFANYIE INTERVIEW YAKO....ila mnhhhhh...mie dume aiseee..bana eeeee...hilo unalo...unelikoroga LINYWEEEE
   
Loading...