Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

NAOMBA KUFAHAMU KAMA MFANYAKAZI AKIGUNDULIKA KUWA ANALIPA KODI KIDOGO KULINGANA NA MAPATO YAKE NI HTUA GANI ANAWEZA KUCHUKULIWA NA JE KODI INAYOTAKIWA KULIPWA INATAKIWA ITOKANE NA MAPATO YOTE AU...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jamii, Salaamu, jamaa yangu alikuwa na kesi mahakama ya Ardhi sasa anasema siku ya kusomwa hukumu alitajiwa tarehe tofauti na wakili. Baadaye alikuja kugundua kuwa hukumu ilishasomwa kama...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Na Esther Mbussi WAKILI Edson Mbogoro anayemtetea Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika katika kesi ya kupinga matokeo iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo, Hawa Ng’umbi, amesema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Naomba msaada wenu wa nini nifanye. Nimefanya kazi kampuni moja binafsi kwa miaka miwili, nilikuwa nikikatwa malipo ya PPF kwa muda wote huo hadi pale nilipoamua kuacha kazi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kabla ya kusababisha mauaji huyu jamaa amewatumia polisi wa wazo ku fubricate kesi hewa na mpaka sasa unapoisoma thread hii kuna kijana na mafundi wake ujenzi wako segerea kwa kesi hiyo kwa zaidi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
habar yenu wakuu. Napenda kuuliza kuhusu double jeopardy ambayo ipo kwenye fifth amendment ya US constitution. Kwa wale wasiofaham ni kwamba incase ukasingiziwa umeua halaf ukafungwa,ukitoka jela...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chadema to take legal action against ex-regional chairman By The guardian reporter 12th April 2011 Comments Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) will take...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mi nimeshindwa kuvumilia. kuna tetesi nilizipata toka kwa mwanazuoni mwenzangu kuwa dada mmoja(kitivo kapuni) wa hapa UD, amezalishwa na mnene mmoja (jina kapuni)hv mwenye madigrii kibao na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu wadau napenda kujua kama kuna sheria inayo simamia haki ya taaluma ya mtu na nafasi ya kazi alionayo kwa mwajiri wake. kwa mfano mtu mwenye digree tatu anaweza akaajiria kama forman kisheria
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwa na tatizo kubwa la wahusika kutokufanyia kazi mara moja taa za kuongozea magari barabarani zinapoharibika! Nafikiri ni zaidi ya miezi miwili traffic light za magomeni hasa ukiwa unatokea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimaye lile bunge tukufu leo limeanza tena vikao vyake mjini Dodoma leo, muheshimiwa mbunge wa Mbeya mjini AKA Sugu anashusha vina kuhusiana na makabila ya nchini Tanzania.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Dear colleagues, I hope this will be of interest to us, read Damages awarded in first UK Twitter libel action | The Law Gazette Meanwhile I am trying to get the judgement and share with you.
0 Reactions
2 Replies
905 Views
jamani kutoka na kuwa muda wa kukusanywa maoni ni mdogo, na waTZ wengine wako nje ya nchi, nimeweka thread hii itumike kutoa maoni huru ya katiba mpya. nawakaribisha kwa michango yenu
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi (National Election Act, 2010) pamoja na Kanunizi za Kupinga Matokeo ya Uchaguzi (Election Petition Rules, 2011, mgombea yeyote wa ubunge/udiwani anayetaka kupinga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Miongoni mwa mambo yanayokera katika miji mingi ya nchi hii ni utaratibu usiozingatia sheria wala kanuni wa wachuuzi wanaovamia maeneo ya kandokando ya barabara, sehemu ya waenda kwa miguu, kwenye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wadau wa sheria jf hebu tupeni ufafanuzi juu ya maneno haya ktk section 9(2) ya hii muswada wa sheria ya katiba.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF naomba kujua kuna sheria gani katika katiba inayozuhia watu kuweka wimbo wa Taifa kama Ringtone...?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF Mtakumbuka siku ya jumamosi tarehe 2.4.2011,nilieleza jinsi nilivyomkamata na kumpeleka kituo cha polisi wakala aliyekuwa anakusanya ushuru wa maegesho ya magari kwenye kituo cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Akiwa anawasalisha hoja waziri wa habari na michezo amevionya vyombo vya habari vinavyochochea udini na kusema hatavionya tena bali hatua madhubuti zitachukuliwa dhidi yao bila kutaja majina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi rais wa zanzibar anapokuwa tanganyika huwa anapeperusha bendera hipi? Make sijawahi kuona msafara wake. Nini maana yake?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom