Muheshimiwa Sugu anashusha vina ndani Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muheshimiwa Sugu anashusha vina ndani Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Ndallo, Apr 5, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hatimaye lile bunge tukufu leo limeanza tena vikao vyake mjini Dodoma leo, muheshimiwa mbunge wa Mbeya mjini AKA Sugu anashusha vina kuhusiana na makabila ya nchini Tanzania.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  How?tell us
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  mmmh!! tuelezee
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Mi nipo hapa,vina gani anavyoshusha.Acha kumdhalilisha Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Watu wengine sijui ndo uboya,..we unaona habari yako imekamilika kabisa hadi uanzishe thread?
   
 6. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sugu jimbo lake ni la wasanii akina Afande Sele, Mkoloni na wavaa heleni wengine. Jimbo la Mbeya limo likizo ya miaka 5 mpaka uchaguzi Wa 2015. Hili watu wa Mbeya wanalijua kwa vile waliamua wenyewe kutokuwa na mbunge
   
 7. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  ... kama ambavyo NEC ilivyoamua Watanzania tusiwe na rais kwa miaka mitano!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Wewe aidha in GERARD HANDO au EFRAIM KIBONDE......maana jamaa anawanyima usingizi hata mabosi wenu
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  An excuse of 'great thinking'..mwe!
   
 10. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kweli Jabulani unachosema ni sawa. Kama kuna ombwe la mkuu nchi, then kwa nini upoteze muda wako kufikiria kichagua mbunge makini? Na ukipitia majimbo mengi hususan yale yanayoongozwa na wenye elimu ya msingi kama Njombe ya akina Nyimbo, Njombe ya akina Makweta, Iringa ya akina Monica Mbegga na Rorya ya akina Sarungi, utagundua kuwa wananchi wa maeneo hayo walishachoshwa sana na CCM hivyo wakapiga kura za ghadhabu ili tu kuelezea hisia zao kwa jamii. Kwa dunia tuliyopo sasa ni kwa miujiza tu mbunge mwenye elimu ya darasa la 7 au kidato cha 4 cha akina Sugu, Lameck au Jah People kuweza kuongoza maendeleo ya jimbo
   
 11. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mimi siyo Kibonde wala Gerald bali ni mwana-Mbeya niliye na uchungu wa maendeleo. Nasema kuwa jimbo liko wazi na sisikitiki kwa Hali hiyo kwa kuwa ni wana Mbeya ndiyo waliomchagua ingawa hawategemei kuwa atawaletea maendeleo yoyote. Kwa muda hui mfupi tumeona wabunge vijana wa vyama vya upinzani wanavyojenga hoja zenye mvuto na wanavyosimamia maendeleo ya majimbo yao kama vile Godbless Lema, John Mnyika, Kafulila, na Mary Mwanjelwa (viti maalum). Ila Mbunge Joseph Mbilinyi ameonekana akipamba vijarida vya udaku juu ya uhusiano wake na Shrose Bhanji, mara akiongelea namna ya kudai studio ya muziki ambayo JK aliwaahidi wanamuziki. Vilevile ameahidi kushughulikia haki za mradi wa Malaria No More. ameahidi vilevile kutoa part 2 ya anti virus. Sasa kama wewe unapenda maendeleo ya Mbeya, kweli Kati ya hayo kuna kitu kweli ambacho kinawagusa wananchi wake? Sanasana anaonekana amejawa na kisasi kwa wale waliomdhulumu haki zake na anataka atumie kofia hiyo ya ubunge kuzipata. Na hapo ndiyo nashawishika kusema jimbo la Mbeya liko wazi. Najua Kauli hii haiwapendezi wana CDM lakini chukueni hii Kama 'Wake Up Call' kwa vile bado mapema anaweza akajitekebisha
   
 12. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  wananchi wa hayo majimbo na majimbo yote Tz wametumia haki yao ya kumchagua mtu au chama walichokiona kitawaondolea matatizo yao baada ya kulinganisha sera za mtu, chama chake akicompare na wenzake. Kuwasemea vinginevyo ni kuwakosea na kiungwana uwatake radhi!
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  acha uzushi! Umeathirika na fikra mgando za kifisadi mnazotengenezewa kuzusha mambo ili waonekane hawafai au kututoa kwenye issue za msingi na kutuhamishia kwenye upuuzi kwa ujira kutoka kwa mafisadi. Nime'comment' hapa ili kukufahamisha kwamba tukimaliza kuchangia upuuzi huu tunaendelea na mambo ya msingi maana msiba hauahirishwi na huwa unaisha baada ya matanga na si maziko!
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mbona hatuambiw alichosema?
   
 15. K

  Kalila JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha mambo ya ajabu ww nenda meta hospital kanunua vitanda sasa anataka kila shule iwe na computer za kutosha huyo mpesya alifanya nini cha ajabu mm nipo mbeya watu wanamkubali sana labda wewe na kibonde mkoloni nyimbo zake unazijua ni mtu makini hatudanganyiki huyo kpomba ainafanya nini zaidi ya kulala tu na mtumbo wake oooooooooooz
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mh. Mbilinyi amechaguliwa na hao wana mbeya baada ya kumsikiliza sera zake na chama chake. Miezi mi4 haiwezi kutoa judgement kwake. Nakushauri uwe na subira maana subira huvuta heri. Mi nipo Arusha. Mh. Lema amezitimiza ahadi alizoahidi angetimiza ndani ya siku 90. Nyingine hatuwezi kumdai leo maada bado muda upo. Angalia ccm kwa mfano. Waliahidi watahamishia makao makuu DDM tangu miaka ya 70 hadi leo hawajatimiza kwavile hawakuwa ma time frame. Huyu ana miaka mi5. Tutamhukumu muda ukifika.
   
 17. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mh. Mbilinyi amechaguliwa na hao wana mbeya baada ya kumsikiliza sera zake na chama chake. Miezi mi4 haiwezi kutoa judgement kwake. Nakushauri uwe na subira maana subira huvuta heri. Mi nipo Arusha. Mh. Lema amezitimiza ahadi alizoahidi angetimiza ndani ya siku 90. Nyingine hatuwezi kumdai leo maada bado muda upo. Angalia ccm kwa mfano. Waliahidi watahamishia makao makuu DDM tangu miaka ya 70 hadi leo hawajatimiza kwavile hawakuwa ma time frame. Huyu ana miaka mi5. Tutamhukumu muda ukifika.
   
 18. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Filipo sina nia mbaya na Mh Sugu na wala sitaki tushindane kuandika Ila nakushauri usipuuze ushauri wangu wa kumrekebisha anapo misbehave Kama kweli unapenda mafanikio yake.
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Hii habari inaniletea njaa tu! Kwanini usieleze kitu kizima?
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  usiwe unaongea kama umejinyea wewe...utamfananisha sugu na wabunge wenu akina viki kamatta au mchungaji rwakatale???
   
Loading...