Wanasheria; nini maana ya inviolability na sanctity?

Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,982
1,009
wadau wa sheria jf hebu tupeni ufafanuzi juu ya maneno haya ktk section 9(2) ya hii muswada wa sheria ya katiba.
 
wadau wa sheria jf hebu tupeni ufafanuzi juu ya maneno haya ktk section 9(2) ya hii muswada wa sheria ya katiba.

1. unbreakable: secure from being infringed, breached, or broken The old traditions are no longer inviolable.
2. secure from attack: secure from violence or attack The monarch's person is inviolable.

[15th century. Directly or via French < Latin inviolabilis < violabilis "that may be injured"]

-in·vi·o·la·bil·i·ty [in v&#63494; &#601;l&#601; bíll&#601;tee], noun
-in·vi·o·la·ble·ness [in v&#63307; &#601;l&#601;b'ln&#601;ss], noun
-in·vi·o·la·bly, adverb
Microsoft® Encarta® 2009. © 1993-2008 Microsoft Corporation. All rights reserved.
sanc·ti·ty [sángkt&#601;tee]

(plural sanc·ti·ties) noun

1. sacredness: the condition of being considered sacred or holy, and therefore entitled to respect and reverence2. holy thing: something considered holy or sacred (formal)

[14th century. Via French < Latin sanctitas < sanctus "holy" (see saint)]
Microsoft® Encarta® 2009. © 1993-2008 Microsoft Corporation. All rights reserved.
mkuu usiwe mvivu kusoma dictionary
 
Wanajf ambao mmebobea ktk law hebu tujuzeni maana ya hayo maneno na tafsiri yake kiujumla ktk section 9(2) ya muswada wa sheria ya katiba mpya.
 
Jamani lugha yetu si kiswahili. sasa tunu ya kiswahili iko wapi? kama hata muswada washeria unaandikwa kwa kwa kiingereza? Tuki mpo wapi? mnafanya nini? sisi tusiojua kiingereza tutauelewaje huo muswada? I'm tired with this.
 
Back
Top Bottom