Mh: Nchimbi avionya vyombo vya habari vinavyochochea udini

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,219
Akiwa anawasalisha hoja waziri wa habari na michezo amevionya vyombo vya habari vinavyochochea udini na kusema hatavionya tena bali hatua madhubuti zitachukuliwa dhidi yao bila kutaja majina amesema kuna magazeti mawili moja la kikiristo na lingine la kiislamu pamoja na redio moja ya kiislamu.
Kwa hiyo wakae chonjo na habari zao za uchochezi la sivyo watafungiwa
 
bora redio kheri na al nuur wazifunge wakati wa kikwete maana zinaboa,zinakera na za kichochezi.
 
Back
Top Bottom