Rais wa Zanzibar hupeperusha bendera gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Zanzibar hupeperusha bendera gani?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by baina, Apr 5, 2011.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi rais wa zanzibar anapokuwa tanganyika huwa anapeperusha bendera hipi? Make sijawahi kuona msafara wake.
  Nini maana yake?
   
 2. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Hana wizara maalum,anaonekana kama ni mbunge tu wa kawaida,na dharau kubwa sana.
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
 4. k

  kiparah JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hakuna Muungano wa ajabu duniani kama Tanzania na Zanzibar... Jamhuri moja, kila moja ina rais na jeshi???????????+wimbo wa taifa na bendera (ukitaka maajabu ndenda Tanganyika now-days Tanzania utayaona ya kila aina)
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kumbe mnayo bendera duh,mmekua sasa mchukue talaka yenu
   
Loading...