Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mume atishia kumdai mke wake mamilioni
Imeandikwa na Na Christopher Gamaina, Tarime; Tarehe: 16th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 123; Jumla ya maoni: 0...
Wakuu naomba msaada niweze fahamu mambo muhimu wakati wa kuandika barua ya kuacha kazi.Nimepata kazi nje ya nchi yenye maslahi mazuri zaidi. Sheria inasemaje?
na Mwandishi wetu
KIONGOZI wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amembana Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, kutaka alieleze Bunge kwamba zoezi la ubomoaji wa nyumba za wananchi...
SEBASTIAN MRINDOKO,
TOTAL of 3.7bn/- from 14 Tanzania Embassies is reported to be unaccounted for in expenditure anomalies revealed by the Controller and Auditor Generals (CAG) report.
The...
Wabunge wataka madiwani wakopeshwe magari Send to a friend Saturday, 16 April 2011 08:31 0diggsdigg
Boniface Meena
WABUNGE wa CCM, wameishauri serikali ifanye jitihada za kupeleka fedha za...
Je mpangaji katika nyumba analindwa vipi na sheria dhidi ya wenye nyumba wanaopandisha kodi za nyumba kiholela?. Endapo mpangaji anaamini kwamba mwenye nyumba amepandisha kodi kwa kiwango kikubwa...
Vigogo 23 kortini kwa kutotangaza mali zao
Imeandikwa na Na Halima Mlacha; Tarehe: 11th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 55; Jumla ya maoni: 0...
Kesi ya kumtishia mke wa Mbowe yaunguruma
Na Angelina Mganga
KESI ya kutishia kuua kwa maneno iliyofunguliwa na mke wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
Wakuu tafadhali msaada kwa huyu mkubwa hapa chini ni ndugu yangu kaniomba msaada na mie sio mtalaam wa sheria msome hapa chini:
"Nimefungiwa ofisi na mwenye nyumba wangu bila taarifa (Notice)...
Habari wanasheria,
Naweza kupata msaada wa 'utaratibu wa kisheria' unaotakiwa kufuatwa pindi mtu anapofanyiwa RETRENCHMENT au Redundancy kazini?
Aksanteni,
K. Tise.
Jamani naomba kuuliza,mdogo wangu amezaa na Mwanamke mmoja ambaye hawakuona nae na sasa mtoto ana miaka minane!
Lakini cha ajabu huyu mtoto anavyozidi kuwa na umri mkubwa huyu dada ndo anavyozidi...
Hi
Kwa mfano job advertiser katangaza nafasi ya kazi in a certain organization; watu wakaapply baadae ikaja kujulikana that the company is not existing
Is nt the advertsier bound to do...
WADAU NAOMBA MNISAIDIE UFAFANUZI WA KISHERIA KUHUSU NI WAFANYAKAZI WANGAPI WA KIGENI WANAORUHUSIWA KUFANYA KAZI KATIKA KAMPUNI MOJA HAPA NCHINI??
HATA KAMA KAZI WANAZOFANYA ZINAWEZA KUFANYWA NA...
Hi
Naombeni ushauri wenu:
Kama mtu bado yuko kwenye probation ( offer Letter inasema six months probation time); na imekuwa 1.5 months of probation mpaka sasa hivi.
Kazi yako ni recruiter...
Nimekua msomaji mzuri sana wa vitabu hadithi za kubuni hususan vya mtiririko wa kina Marehemu Eddie Ganzel...baada ya wale wakongwe kupita kuna vijana wamekuja kuibuka hapa miaka ya karibuni ambao...
Ndugu wana JF Naomba kujulishwa hivi inakuaje mtu umeajiliwa katika kampuni ya mtu binafsi na wewe ukiwa ni Mwajiliwa wa kwanza katika ofisi hiyo yaani ndo umeanza nayo,sasa mwenye kampuni...
Expatriates??
Hi
I will appreciate your views on the following:
From the little knowledge that i have on law; i think we are supposed to have Expatriates for the rare professions and not for...
Hivi wana Jamii Forum kwani babu wa Loliondo asishitakiwe katka mahakama ya kimataifa? wengi watanishangaa kwa maoni yangu lakini naamini na ninachokisema na nitakisimamia. Babu wa loliondo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.