Ukandamizaji wa haki ya taaluma na ngawanyo wa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukandamizaji wa haki ya taaluma na ngawanyo wa kazi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by njoka, Apr 9, 2011.

 1. n

  njoka Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau napenda kujua kama kuna sheria inayo simamia haki ya taaluma ya mtu na nafasi ya kazi alionayo kwa mwajiri wake. kwa mfano mtu mwenye digree tatu anaweza akaajiria kama forman kisheria
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  degree tatu af awe foreman!!!huyo kafulia mbaya na wala hajui amesoma kitu gani na kama amesoma hajui kukitumia kisomo chake.
   
 3. n

  njoka Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaelekea wewe hujasoma kabisa hata maana ya mfano hujui. changia maada achacha mikelele yako kama hujui kaa kimya
   
Loading...