Aliyesababisha mauaji tegeta juzi na nguvu ya fedha ktk kubambikia kesi watu...huu ni mfano hai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyesababisha mauaji tegeta juzi na nguvu ya fedha ktk kubambikia kesi watu...huu ni mfano hai

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by FDR.Jr, Apr 9, 2011.

 1. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kabla ya kusababisha mauaji huyu jamaa amewatumia polisi wa wazo ku fubricate kesi hewa na mpaka sasa unapoisoma thread hii kuna kijana na mafundi wake ujenzi wako segerea kwa kesi hiyo kwa zaidi ya wiki mbili sasa.

  Nawaomba wataalam wa sheria na wapenda haki, wana usalama hususani polisi na pccb iangalieni kesi ya jinai na 400/2011 iliyoko mhakama ya hakimu mkazi kinondoni mbele ya mh. Kiwonde.

  Mlalamikaji ni dola (baada ya malalamikaji wilson s.o.kiguna chacha).

  Mahakama haiko aware na uchafu huu uliofanywa na huyu jamaa kwa kutumia polisi wazo, mwendesha mashitaka naye sidhani kama anajua kesi nzima ni ubambikaji kisa jamaa anataka ardhi, kijana kanyimwa dhamana kwa mujibu wa charge alizofunguliwa hapo makamani, anapaswa kuwa na 200m...

  Nimewasilishailisha ili asaidiwe huyu kijana emmanuel philbert wa kinondoni msufini maana 2weeks sasa yuko segerea na kama angelikuwa nje huenda angelipewa kesi ya hayo mauaji.
   
 2. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Afande kenyela anapaswa kuingilia hii kesi ili haki itendeke mapema, wanasheria tunahitaji msaada wa kumuwajibisha chacha ktk fidia ya malicious prosecution against kijana emmanuel philbert, kijana ameteseka just bcoz alitaka kujikwamua na madhira ya upangaji, alikamatwa akiwasimamia mafundi ujenzi wake kwa tuhuma ta kuvamia ardhi(hii inazungumzika) na pili kuvunja nyumba yenye thamani ya tshs 300m, mabomba ya maji, servant house(pale mahala ni msituni, porini, walioanza kuishi wengi wana nyumba za miti kwa hiyo ni uongo wenye lengo la kukuza kesi na kumtisha kijana=sasa wamemnyanyasa na kumtupa ndani hana uwezo wa dhamana), huyu bwana chacha na timu wanalo la kuiambia dola, mahakama na umma juu ya hii kesi
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  juzi wapi mkuu, go international
   
 4. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 852
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Wewe unaishi wapi? Haupo bongo?
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Huyu Chacha ni nani?ana nguvu gani hiyo?anaweza kukodi watu 80 wakavunje nyumba za watu???duuu kweli kiboko ni nani huyu??
   
 6. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  ukweli utajulikana tu
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Watu kama kina chacha sio wa kuwafumbia macho,ni watu wa kuchukuliwa hatua mara moja tena ikiwezekana nguvu ya wananchi ingilie kati kwa bwana chacha,nashangaa kwanza kusikia bwana chacha yupo hai mpaka sasa,kimsingi ilitakiwa kuanzia kizazi cahe mpaka yeye mwenyewe wapotezwe kabisa,hawa ndio wanaotusababisha wananchi tulio masikini kupata tabu kwa vipesa vya ufisadi walivyonavyo

  Mala nyingi huwa tunasema kuwa polisi wa bongo wapo kimaslahi sana na unaweza kuta hao polisi wamepewa elfu kumi tu ndio iliyosababisha matatizo yote hayo
  inasikitisha sana,sijui lini hawa watumia pesa kwa kuwanyanyasa wasio nazo watakuwa na kikomo
  Wanasheria jitokezeni kumsaidia kijana kwa kumtoa ktk mdomo wa mamba wa bwana chacha
   
 8. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mimi si mtaalam wa sheria.
  Ila nafahamu kuwa kesi yoyote ya jinai, mlalamikaji kwa Tanzania anakuwa ni "Jamhuri ya Muungano wa TZ". Kwa hiyo hapo hamna kilichokosewa. Hata ukinipiga ngumi, nikikupeleka polisi, basi ile kesi sio yangu tena. Mimi nakuwa shahidi tu, lakini mlalamikaji ni Jamhuri.

  Kama ingekuwa ni madai, basi kwenye hilo shauri la madai mlalamikaji ndio angekuwa bwana Chacha.
   
 9. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Wewe unayejiita engineer ambaye ni msomi bado unashabikia kifo cha mapanga kama huyo Chacha unayemlaani, hii dunia imekwiisha jamani!

  Hayo ya huko kwenu porini munaleta mjini na munaanza kupigana mapanga na kushabikia, hii ni dhambi kubwa kwa Mwenyezi Mungu uwe wa dini yo yote ile.
   
 10. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mi nataka kujua ama kuna baunsa aliyekufa kwenye yale mapiganio au ni wenzetu waliokuwa wananyanyaswa
   
 11. n

  nndondo JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Thank god ni ma baunsa
   
 12. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  hoja yangu si nani mlalamikaji bali naitaka dola ambayo constitutionally ndio qualified wanapaswa kuliangali hili na kesi hii ili kuepuka madai baadae maana aliyeitengeneza chaji amebambika, nini hatima baada ya kuwatesa watu segerea halafu mnagundua madai na vielelezo ni fake?
   
 13. L

  Loloo JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tatizpori owatanzania tunapenda kuchukua mass sympathy bila kuwa na ushahidi.huyo chacha sio kichaa akavamie ardhi ambayo siyo yake kwa nini hao wamamizi wasiende mkuranga kwenye mapori wwafeke wahamie huko wanasubiri hadi mtu katumia jasho lake kuandaa ardhi ndo wavamie?siogopi kusema ukweli walw sitetei aliyeua.hiyo kesi mahakama ndo itaamua kama amesingiziwa hy m2 ni ahadi na sio cash money so kamwekee dhamana atoke.
   
Loading...