Taa za kuongozea za magomeni mbovu - kutokea ubungo kwenda buguruni

amanindoyella

Senior Member
Oct 13, 2009
104
9
Kumekuwa na tatizo kubwa la wahusika kutokufanyia kazi mara moja taa za kuongozea magari barabarani zinapoharibika! Nafikiri ni zaidi ya miezi miwili traffic light za magomeni hasa ukiwa unatokea ubungo kwenda buguruni hazifanyi kazi! Madereva wageni wamekuwa wakipata shida kubwa kutokana na kutowaka kwa taa hizo! Tafadhali wahusika fanyieni kazi adha hiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom