Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wana janvi ile kesi iliokua inasubiria sana iliokua inamuhusu askari aliemuua marehaemu mwangosi mwandishi wa habari wa Chanel 10 imetoka kwa askari kuhukumia miaka 15 jela kwa mujibu wa jaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtuhumiwa Mohamed Yusuph Ally anayedaiwa kuingiza milioni 7 kwa dakika akipelekwa rumande. MFANYABIASHARA anayedaiwa kukwepa kodi na kuingiza shilingi milioni 7 kwa dakika amesomewa mashitaka 199...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu zangu wataalam wa sheria naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu betting /Kamari au bahati nasibu. 1. Katiba ya nchi ina ruhusu hii michezo? 2.Je ikitokea tatizo let's say umedhurumiwa kwa...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Jamani wanajamvi habarini za muda huu. Naombeni msaada kuhusu fidia ya kulipia gari lililogongwa na sheria inasemaje kuhusu matengenezo ya magari yaliyogonga. Msaada wenu please. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kufahamu wapi pa kupeleka lalamiko lako na taratibu zake, pale unapoona wakili wako amekukosea kwa kutofuata maadili ya kazi yake.
0 Reactions
4 Replies
922 Views
Je kwa sheria za nchi yetu zinaruhusu mali wanazozalisha wafungwa kuuzwa kwa minajili ya kibiashara au magereza za tanzania zinaruhusiwa kuuza kibiashara mali wanazozalisha wafungwa msaada kwenye tuta
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Hivi majuzi tumeshudia picha chafu za bibi harusi kwenye mitandao mpaka ndoa yake kuvunjika ghafla baada ya fungate.Niliona jinsi swala la kule morogoro la kubakwa yule msichana watu...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Nina nyumba imechakaa ipo katika eneo zuri la biashara binafsi sijawa na uwezo wa kuirekebisha kwa sasa, kaja mtu anataka kuirekebishe kisha afanye biashara. Tayari kashaingalia na anasema gharama...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wakuu nahitaji setup ya hii game au direct link nikadownload Email teslasenior@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi mtu mmoja anawezaje kuwa na majina manne? Yanakaaje kwenye Nyaraka za kisheria (Legal Documents) ambazo Mara nyingi huwa na nafasi tatu?!!, yaani Jina la kwanza, la Pili/kati na la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uliza chochote kuhusu Financial Act ya 2016.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, hii nimeiona mara nyingi sana na imekuwa ni kawaida kwa askari Polisi,mwanajeshi au maofisa wa serikali kuwa juu ya sheria sijajua kama ni sheria zetu ndio zinasema hivo au ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nataka kusoma dploma ya sheria vp ni fucult nzurii
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kumbe sheria ni ujanja ujanja sio haki inayokufanya ushinde.Si ajabu ukiwa na kesi ukaambiwa hii kesi yako ukimpata mwanasheria mzuri unashinda,utajiuliza kwa nini hadi niwe na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti in Tanzania chuo kipi kina offer law course vizuri zaidi....?
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kutokana na tamko la Rais kuwa matrafiki kuchukua elfu tano ni hela ndogo ya kubrush viatu, JE NIKICHUKUA RUSHWA HIYO nitatiwa hatiani nikitoa kielelezo cha clip ambayo raisi ameruhusu tuchuke...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Mimi ni mfanyakazi katika kampuni binafsi(sio kubwa) kwa takribani miaka mitatu now Nmeona nirudi shule na mwajiri wangu amekubali na kuahidi kunilipia ada na kunilipa mshahara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za sahizi naomba kujulishwa juu ya hii huduma ya PF3 inayotolewa na Polisi kwa wanaopata majeraha na wanahitajika kutibiwa, je ni sheria gan inayo ipa uhalali hii form kutumika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:- Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo. #Refer case ya Nabii mwingira...etc
0 Reactions
39 Replies
22K Views
Back
Top Bottom