CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Wanasheria naomba kujua muathirika wa serikali kukataa kutekeleza amri ya mahakama ambapo serikali imeshindwa kesi anaweza kuchukua hatua gani kupata haki yake? Mfano labda inapashwa kukulipa fidia lakini ikakataa kwa kiburi tu.