Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu nataka kununua gari kutoka NGO moja hapa nchini. Lakini hili gari halikulipiwa kodi wakati linaingizwa nchini ila lilisajiliwa kwa namba za kiraia. Nikitaka kulimiliki natakiwa kulipa kodi...
Wajameni nifafanulieni kisheria, je, fumanizi ni kosa? na udhalilishaji unaofuatia matukio haya, mfano kuwatembeza wahusika wakiwa uchi, kuwalazimisha kuwapiga picha wakiwa uchi, pengine kuwapa...
Wakuu, kwa anayefahamu.
Naomba kujuzwa ni Kanuni namba ngapi ya Public Finance Regulations ya mwaka 2001 revised edition 2004 ambayo inazungumzia matumizi mabaya ya fedha za umma/serikali. Au...
hellow guys ukifanya kazi zaidi ya miaka 9 kwenye kampuni bila mkataba ila tu malipo ya NSSF kupelekewa kama kawaida na mshahara usio na salary slip ukija kuachishwa bila sababu una haki zipi...
Wafungwa nane ( 8 ) waliokuwa katika Chumba kimoja katika Gereza moja huko Mjini Texas nchini Marekani waliamua kuvunja hicho chumba chao ili kuweza kumuokoa Askari Magareza aliyeanguka ghafla na...
Wakati nilipopata nafasi ya kupitia sheria ya makosa ya mtandaoni sikupata clear definitions ya adhabu zake na matkwa yake na watu gani haswa wamelengwa kulindwa au kuwa sewed kwa makosa...
Sasa ukimfunga miaka yote hiyo mtoto anakua bila baba: Mtoto huyo huyo atadhihakiwa na jamii kwa kutokuwa na baba na alivyopatikana (bastard?????). Pili malaezi/matunzo???? Hili lilihitaji mjadala...
Wadau msaada kutoka kwenu,
Kuna rafiki yangu alikua kwenye kampuni moja ambayo alikua akifanya kazi pamoja na raia wa kigeni. Anadai siku moja alifanyiwa fujo na raia mmoja wa Uingereza ikiwa ni...
Nimeamua kuleta huku hili suala hili lipate ufafanuzi wa kisheria , kwani hili suala limekuwa likijadiliwa kwa hulka bila utaratibu.
Je uteuzi wa ma das unaolalamikiwa kukiuka sheria na...
Wakuu, salaam.
Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuai.
Naomba mnijuze kama nikifanya...
Shambani kwangu nimepakana na Mjumbe,huyu bwana na mke wake wamekuwa wakiwalaghai wafanyakazi wangu kila Mara ninapopata mfanyakazi mpya na kupelekea wao kuondoka,na kuna taarifa pia wamekuwa...
Msaada wenu tafadhali kuna jamaa mmoja alikuwa na ugomvi na mke wake ndipo yule mwanaume alipoamua kuchukua kipande cha tofali na kumrushia mke wake lakini mama yule alifanikiwa kulikwepa tofali...
Habari za mihangaiko wakuu.
Nina swali hapa ni kwanini wanasheria wanapokuwa mahakamani wavae suti, ni kisheria inatakiwa hivo ........... au mapendekezo ya mtu mwenyewe ????
naombeni...
Hii ishu ina migogo baadhi ya maeneo na watu wanataka kuanza kugoma kununua nyama. Niliwahi kutana nayo na kwenye maoni ya katiba mpya. Kisheria na kijamii nani wanaruhusiwa kuchinja mifugo...
Wabobezi naomba mwenye kumbukumbu/mifano ya kesi zilizokwisha tolewa maamuzi zinazohusu 'malicious prosecution related to employment' ambazo zilisikilizwa katika mahakama za wilaya ndani au nje...
Kwa yaliotokea katika kipindi cha take one na kumhoji yule shoga nakusudia kufungua mashitaka dhidi ya clouds!Kwa wana sheria nitumie njia gani maana nikienda kichwa kichwa sintafanikiwa.
Hebu...
Habari ! Naomba mnisaidie ndugu zangu ! Mi ni mwenyeji wa daresalaam nilikuja ulaya kwa kuzamia meli kutokea south africa nikiwa sina passport na mpaka sasa bado sina passport. Nimejaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.