Msaada kisheria nimetapeliwa laptop

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Ndugu zanguni naombeni msaada wa kisheria ....Mimi ni mwanafunzi wa Elimu ya juu mwaka wa pili...
Kuna kijana nilimuagiza laptop Iringa huyu kijana tunasoma nae ...ila mpaka sasa hajarejea chuo na hapokei simu yangu ...wala kujibu SMS

Naombebi mnisaidie ...maana nashindwa hata kusoma ....nisaidien kumfungulia shitaka huyu mwizi .....nipo dar .....sina hela nahitaji msaada wenu

My contact 0766047815
 
upo Dar unaagiza laptop Iringa...??? au imetoka kwenu.
Kama una muda nenda kituo cha polisi wakabidhi namba yake.
au komaa kumfuatilia si unamfahamu, hata picha yake moja unayo..!!
au ongea na uongozi wa chuo ili awekewe kizuizi fulani.
 
Ndio nipo dar nilimuagiza. Iringa alienda Mara moja
 
Pole sana ndugu .... Hatua ya kwanza unatakiwa kumtafuta physically ili ujue nini kinaendelea ili kama amekutapeli akamatwe kwa mahojiano. Vilevile tunza Meseji za miamala na maelezo. Halafu jaribu kufatilia usije sema kakutapeli kumbe kapatwa na majanga
 
Sawa mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom