Naomba kufahamishwa kuhusu malipo baada kumaliza mkataba wa ajira au kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kufahamishwa kuhusu malipo baada kumaliza mkataba wa ajira au kazi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Emmanuel Msule, Jun 14, 2016.

 1. Emmanuel Msule

  Emmanuel Msule Member

  #1
  Jun 14, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Habari zenu wakuu,
  Mimi ni mwajiriwa na nina mkataba wa miaka miwili ambao unaisha tarehe 01/10/2016.
  Hivyo, naomba kufahamishwa haki zangu au malipo yoyote baada ya kumaliza mkataba huu wa kazi kabla sijasaini mkataba mwingine. Mfano, kiinua mgongo na malipo mengine.
  Nisaidieni wenye utaalamu wa mambo ya sheria na haki za mfanyakazi.
   
 2. G'taxi

  G'taxi JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2016
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 3,188
  Likes Received: 2,599
  Trophy Points: 280
  Kama hujaamua kuacha kazi huwezi lipwa chochote,utarinew mkataba na kuendelea na kazi,ila ukisema hutaweza endelea na hyo ofc utatoa notice wewe mwenyewe ya kutokuendelea na kazi na mala nyingi utapaswa kutoa notice miezi mitatu b4 na ofc ikaanza kufanya taratibu za malipo yako na barua ya kukabidhi kila kitu chao na then watakupa end of contract later utakayopeleka ktk mifuko ya kijamii kama NSSF ili pia uvute chako.Kwisha
   
 3. b

  baba luno Member

  #3
  Jun 18, 2016
  Joined: Aug 14, 2015
  Messages: 7
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nje na mifuko ya hifadhi ya jamii mwajiri hatoi chochote kama mkono wa kwa heri/kifuta jasho?
   
 4. s

  structuralist JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2016
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 751
  Trophy Points: 280
  Utapata kitu kinaitwa gratuity (kama hicho kipengele kipo kwenye mkataba wako. mara nyingi huwa kipo) ambayo mara nyingi ni 15% ya malipo yote ulolipwa kwa miaka 2. Mfano kama mshahara wako (basic) ni 1M then kwa miaka 2 utakuwa umelipwa 24M sasa tafuta 15% ya hiyo fedha ndicho utakachopewa. Ila kumbuka gratuity in kudi tena kubwa tu so TRA hapo lazima wachukue chao pia
   
 5. Emmanuel Msule

  Emmanuel Msule Member

  #5
  Jun 22, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Na kama kipengele hiki hakipo kwenye mkataba inamaanisha sitolipwa? Na Gratuity ipo kisheria au ni mpaka mwajiri aamue kulipa?
   
 6. s

  structuralist JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2016
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 751
  Trophy Points: 280
  Sina utaalamu sana wa kisheria ila nachofahamu ni kuwa hili linatgemea na mkataba unasemaje na sidhani kama mwajiri anawajibika kisheria kuweka hiki kipengele. Kama hakipo kwenye mkataba naona itakuwa ngumu sana kulipwa hiyo gratuity ila kama ipo basi hapo inakuwa ni haki yako. Vp mkataba wako hauna hicho kipengele?
   
 7. Emmanuel Msule

  Emmanuel Msule Member

  #7
  Jun 22, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hata hakipo mkuu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...