Teh tehHahahaaaaaaa... pole sana mkuu kwa yaliyokusibu jiandae tu kwa matunzo ya mtoto
Na kihalisia sio kila mwanamke anafaa kukuzalia mtoto, huo ndo ukweli mchungu, sasa anapotaka mtoto na wewe kwa sababu zozote zile anafanya makusudi. na ongea kutokana na experience niliyonayo baada ya kutokewa na ishu ya hivyoHAPO NASHANGAA MTU YUKO DANGER ZONE HAKUAMBII MTUMIE KONDOMU
Hiv nikuulize nani anapaswa kuwa makini kati yenu. Ukimshtaki ukapimwe akili [[/IMG]Hivi nyie wataalam wa sheria kuna nchi yoyote inayotumia common law system yenye sheria ya kumshitaki mwanamke aliyebeba mimba yako makusudi bila ridhaa ya mwanamme mwenye mbegu?
Tatizo inanoga sana,ukiona inanoga mwaga nje..! P@....fu.HAPO NASHANGAA MTU YUKO DANGER ZONE HAKUAMBII MTUMIE KONDOMU
sio kila mtu ana uwezo wa kuchomoa hasa muda wa nywele zote kusimama.Tatizo inanoga sana,ukiona inanoga mwaga nje..! P@....fu.
Anza na kujiuliza nani anajua kuwa akijamiiana kipindi flan atapatwa ujauzito. Ndo utajua nani anapaswa kuwa makin zaid. Je hujafikiria ukimuuliza mhesabu akakudanganya? Kumbuka hoja yangu ni mwanamke kubeba mimba makusudi BILA IDHINI yako.Hiv nikuulize nani anapaswa kuwa makini kati yenu. Ukimshtaki ukapimwe akili [[/IMG]
Bas tu kwa vile wanawake wanaendesha dunia hili suala haliangaliwi wanaume hatunaga mtetezi (na ndo mfano pekee mtu kutengeneza kiumbe lakin kikamzid maarifa) Nafikiria zanzibar waliona mbali kama mvulana na msichana wamepeana mimba wote kushitakiwa. Pia hata sheria ya muambukiza HIV makusudi kushtakiwa ina mwelekeo huohuo la naye angejitetea vizuri tu. Mtoto si jambo dogo kumleta dunian. Kutegesheana kujinaishwe!Na kihalisia sio kila mwanamke anafaa kukuzalia mtoto, huo ndo ukweli mchungu, sasa anapotaka mtoto na wewe kwa sababu zozote zile anafanya makusudi. na ongea kutokana na experience niliyonayo baada ya kutokewa na ishu ya hivyo
weee, yaani acha tuu...mie naona kweli itungwe sheria...kama mwanaume hajakwambia kwa mdomo wake mwenyewe kuwa anataka umzalie basi mwanamke yupo solely responsible na hiyo mimbaHAPO NASHANGAA MTU YUKO DANGER ZONE HAKUAMBII MTUMIE KONDOMU
Ulipotumbukiza Mkonga wako kwny Kipochi akili yako iliwaza "kutapikia" humo tu hukuwaza matokeo ya "Matapishi" hayo!