Je ntatumia sheria gani kutatua hili tatizo kisheria???

Marco Mhagama

Member
Jun 7, 2016
30
15
Mimi naitwa Marco Mhagama,niliona mke 2013 mwezi wa 6 akapata mimba mwezi wa 11 akajifungua tarehe 29/7/2014 kipindi tunaoana alikua anasubiri ajira ya ualim .Alipo ajiriwa mke huyu akapangiwa kazi morogoro nikampeleka baada ya mda mfupi mwanamke huyu akaanza kunigeuka Mara staki uje huku na nimesikia huko una vijidada yaani visa vingi kumbe kapata mume akaolewa nae na wakafunga harusi ya serikali, baada ya hapo mumuwe na hapo nyuma aliulizwa baba wa huyu mtoto yuko wapi akamwambia alifariki baada ya kugongwa na gari hivo mtoto hana baba Mimi nikajitokeza na kumweleza ukweli yule mwanaume ndipo nikasema nipo na ni mzima wa afya nikamwambia nileleeni mtoto ile kauli ikaleta ugomvi mpaka yule Dada akaamua kumpeleka mtoto kwa bibi mwenye miezi 7 na Mimi nikaona no mtoto kukaa na bibi si vema nika nweleza akanipa nika mpeleka kwetu .Sasa Jana kamtuma mama yake yaani mama mkwe wangu kutoka IGUNGA hadi Arusha chuoni ninako soma Chuo na huyu mama kaenda police kachukua barua akapeleka kwa mkuu wa Chuo naitwa na police nilipo fika police nikaambiwa huyu bibi kafuata mjukuu wake MPE Mimi nikakataa mwanangu hawezi kuishi na bibi akiwa na miaka mi wili bibi akasema mama na mtoto ndo ana mtaka police wakamwabia huyo ndo anatakiwa aje hapa bac yule bibi hakuelewa akasema basi wamfungulie kesi aende mahakamani sasa kaenda huko je Mimi ntashiakiwa ndio je ntajitetea vipi kwa maelezo hayo
 
it is like matrimonial case lakini sio kihivyo, Kimahakama itategemea na kile anachoshitaki mhusika. Je, mtoto ulimuiba au alikupa? hapa ni consent zenu wazazi, kama mlikubaliana then baadae mama wa mtoto akapata ushauri mwingine, basi this is another thing to be digested. Kisheria mahakama itaangalia wapi mtoto atalelewa vizuri kwa upendo zaidi. Kwa kuwa umesema hoja ya msingi kwamba kulelewa mtoto kwa huyo mwanaume kulianza kuwapa mtafaruku, hayo ni maelezo yako, lakini mama wa mtoto anaweza kukanusha. your base should be " nilimwomba mtoto nikamlee mimi baada ya kuona mama wa mtoto amempeleka mtoto wa miezi 7 kwa bibi yake" This is a strong point brother. Hata hivo, mahakama itakubali kumpa aliekuwa mkeo mtoto huyo kama atakuwa na maelezo ya kutosha lakini kama mtoto anaombwa na bibi yake utashinda asbh na mapema. Kitu kingine yawezekana wanahoja ya kwamba mtoto sio wako, that will go to scientific verification through DNI

salam alleikhum.....
 
The best interest of the child principle will apply
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom