Kama anayehukumiwa adhabu hiyo na yeye aliuwa unaiwekaje..?? Yajibu hayo maswali yako kwa kumfikiria aliyeuwawa na mhukumiwa...adhabu ya kifo haifai.
1. ni kinyume na utu na hadhi ya mwanadamu
2. ukimuua mtu umemfundisha nini? au unamkomoa?
3. kuua ni dhambi
afungwe maisha kwani akiwa gerezani si tishio tena. kumbuka wengine wanaua kwa sababu ya wivu wa mapenzi n.k.kumbe yawezekana ni hasira au kuchanganyikiwa. lakini hata mtu auwe vipi yeye asiuwawe. hatuwezi kupambana na uovu kwa kutumia uovu. point kubwa ni kwa Mungu hapendi.Kama anayehukumiwa adhabu hiyo na yeye aliuwa unaiwekaje..?? Yajibu hayo maswali yako kwa kumfikiria aliyeuwawa na mhukumiwa...
Hapo umeitazama haki ya aliueuwa tu.. aliyeuwawa humfikirii kwa chochote... unamtazama kama amefanyiwa alichostahili...afungwe maisha kwani akiwa gerezani si tishio tena. kumbuka wengine wanaua kwa sababu ya wivu wa mapenzi n.k.kumbe yawezekana ni hasira au kuchanganyikiwa. lakini hata mtu auwe vipi yeye asiuwawe. hatuwezi kupambana na uovu kwa kutumia uovu. point kubwa ni kwa Mungu hapendi.