Kuna kesi ya bb na bwana kuhusu nan akae na mtoto wao mwenye miaka 3. Je hii ni aina gana ya kesi? Is it a criminal case or civili case and what effects for a man?
Vp wa miaka saba...mtoto wa miaka mitatu anatakiwa akae na mama yake (hiyo ni general rule) lakini kama kuna sababu za msingi, anaweza kukaa na baba yake
....wa miaka 7 anaweza kuwa huru kukaa na baba yake, kwa kuwa baba ndiye mwenye jukumu la moja kwa moja kumuhudumia mtoto, lakini pia hii itahusisha mapendeleo ya mtoto (best interest of the child) aishi na nani kati ya baba au mamaVp wa miaka saba
Asante mkuu....wa miaka 7 anaweza kuwa huru kukaa na baba yake, kwa kuwa baba ndiye mwenye jukumu la moja kwa moja kumuhudumia mtoto, lakini pia hii itahusisha mapendeleo ya mtoto (best interest of the child) aishi na nani kati ya baba au mama