mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Tunawaomba watanzania wenzetu wenye ujuzi wa mambo ya Sheria watufahamishe watanzania wenzao Juu ya Katiba Yetu inasemaje Juu ya Sheria ya Vyama Vingi.Tunaomba ufafanuzi huo kutokana Na tangazo la kuzuia Vyama vingi kuyikufanya shughuli za siasa mpaka mwaka 2020.