samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,962
Natumai mko poa.
Wakuu leo naomba tuanze moja kama chekechea kwenye haya maswala ya sheria.
Najua humu kuna wanasheria,mahakimu,majaji na watu wote ambao kwa namna moja au nyingine huku kwenye sheria ndio michezo yao ya kila siku.
1. Sheria ni nini ??
2.Kuna aina ngapi za sheria ???
3. Je, sheria zipi zinaweza kukufanya uzipinge sheria zingine ??
4. Kesi inaanzia wapi, Mahakamani au Polisi ???
5. Je, Polisi ana uhalali wa kukukamata kwa aina zote za kesi au ???
6. Vitu gani vinamfanya mtu kuingia hatiani ........... mfano kesi ya madai.
7. Vitu gani vinamtia mtu hatiani kwenye kesi za jinai ???
8.Je, ni kweli kesi za madai, mdaiwa hafungwi ???
9.Kipi kinafanya mwanasheria huyu na yule wakawe na uwezo tofauti .................... wakati sheria ni ile ile.
10. Vitu gani vinakubidi uvitimize ili ushahidi uonekane umekamilika ????
11. Kinaongezeka nini kwa kutetewa na wanasheria wengi ???
12. Kwanini Mahakama za juu kwetu TZ tunatumia english ??
Haya ndugu zangu tutoane tongotongo kwenye haya mambo elezea hata kwa swali moja na mwingine atajazia lingine.
Ruksa kukosoa,kurekebisha na vyovyote utakavyoona inafaa ili tu uzi uwe umesimama vizuri basi karibuni wote.