Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
UKIONACHO NDOTONI. Kiona choo ndotoni, kiumbe sikitumie, Haja iwe mlangoni, kazana ishikilie, Tena fanya hukioni, shukani siyaachie. Yataka uzingatie, uyaonayo ndotoni. Kiona kiza ndotoni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WASHAIRI TUSILALE. Sanaa ya ushairi ni sanaa ya kale sana na pia ni sanaa inayodumu kwa miaka mingi na pia ni sanaa inayoafanya marika yote bila ya kuleta athari kwa rika lingine na bado marika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, Naomba tu kupata ufafanuzi na maana ya maneno Ugumba na Tasa, je maneno haya yana maana moja au ni tofauti kwani nimekuwa napata taabu katika matumizi yake. Sielewi wakati...
1 Reactions
13 Replies
25K Views
1. Alipewa mwanadamu,mnyama zake ni pungufu. Toka zama zama damu,zama zisizo na harufu. Wote twende zamu zamu,ndivyo ataka raufu. Nguvu mwisho wa akili,wajinga hawatambui. 2. Ngumi yako...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
1)kwa tofauti kuona,kufikiri ni maono. Siyo ya kakakuona,kwenye mila malumbano. Ama macho yenye kona,yasiyo na shirikiano. Ukidhani vile hivi,sivyo ndivyo udhanivyo. 2)jiti kavu japo fimbo,hata...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
[07:56, 06/01/2016] Idd Ninga: 1)mwenzenu roho ya uma,yote nikifikiria. Najionea huruma,kwa yote nilotendea. Sina mbele wala nyuma,nahisi nateketea Kama siyo serikali,panya rodi nisingewa 2)yapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LEO NAVUNJA KIBUBU! 1 Leo navunja kibubu, pesa ninunue khanga, Apendeze mahabubu, kama binti wa kitanga Atokapo awe bubu, washindwe wano jigonga Mniache nayajenga, mkome kunita zoba. 2 Sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MAVI YA MBUZI. 1. Nilidhani ni karanga, kumbe ni mavi ya mbuzi, Sikudhani ni pakanga, katika wangu mchuzi, Kuamini mtu janga, jiandae na mauzi. Kuna mambo ya kuchunga, wakati wa maamuzi...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
"When the solution is simple, God is answering." Hii ni Quotes ya Best kabisa Theoretical physcist A.Eistean ww unaitafisiri vipi
0 Reactions
2 Replies
4K Views
KARIBU JAGINA KARIBU. 1 Karibu ndugu karibu, jisikie u nyumbani, Keti upate kababu, toa shaka mtimani, Umepewa taratibu, soma ziweke kitwani. Jagina karibu ndani, karibu ufanye yako. 2 Jina la...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
WAAFRIKA TUNA MAMBO. 1. Mwajua mimi sijambo, namshukuru manani, Nimeamka kitambo, shafika kibaruani, Ila kuna kubwa jambo, kuuliza natamani, Hivi nyie hamjambo? Mliopo kisimani. Nawambia si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama namuona paka,batini aniwangia. Masinzi amejipaka,manganje anichezea. Nganjeiche airuka,uso anitazamia. Moyoni ninamashaka,nikimuona sungura. Shairi:NIKIMUONA SUNGURA. mtunzi:Idd Ninga wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1)enyi makampuni simu,mbona lugha mwachafua. Kusema yanilazimu,lugha yenu nachukia. Kiswahili si kigumu,vipi mnakibomoa. Tena mnakipa sumu,kife huku chakodoa. Ningewa kifimbo cheza,bakora...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1>nauliza wewe nani,na kwangu wataka nini. Uniambie kwanini,kwangu waja fanya nini. Ili nijue kwanini,kwangu umefata nini. Niambie wewe nani,wewe janga duniani. 2>umeingia nyumbani,nyumbani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MBUZI ISOKUNA NAZI? Macho puu yanitoka, nimepigwa na butwaa, Na taya limedondoka, nimebaki kushangaa, Moyo umenishituka, pumzi imenipaa, Mbuzi isokuna nazi, ni bora kuiachiya! Jikoni...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Chiriku wako ni wako, popote pale alipo, Popote huko aliko, mawazoni kwake upo, Ndege huyo ni wa kwako, Chiriku wa kwako yupo, Chiriku yuko tunduni, mbona wewe humuoni? Ni wewe ulimpata...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
jamanieee, hivi tuseme kuwa, kiswahili halisi na cha kufuatwa kama ndo mfano wa kiswahili halisi na kizuri ni cha wapi? mfano, nikianza kama nchi, ukienda kenya, kiswahili chao kimegonjwa, ukienda...
0 Reactions
27 Replies
13K Views
>>Nahisi nipo peponi,nikiona sura yako. Penzi lako la thamani,hakuna mfano wako. Napata hamu moyoni,kushika kiganja chako. Kilichokuwa laini,nalainika mwenzako. Nikuonapo usoni,ni nyororo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunafundisha lugha ya kichina na kifaransa kwa bei nafuu sana. Jua kuwasiliana kwa kichina ili uweze kuwa na biashara nzuri na wageni hasa wachina wanaokuka kwa wingi Tanzania. Piga 0684 085...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
1>kwanza iandae kucha,usinyonge unyayoni. Mchana usiku kucha,zitazame vidoleni. Na vaa vazi la bucha,kwa nje siyo moyoni. Fusho vundo la kuzimu,lifukize kwa mashuke. 2>baraza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom