ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Hili neno Nimeliona mara kadhaa humu Jf ila kiukweli sijui maana yake
Nisaidieni
Nisaidieni
Double standard is a rule or principle that is unfairly applied in different ways to different people or group.
Huko ndio unazidi kumchanganya, Hakuelewa lugha nafkiri Ila sio maana
no...thats HYPOCRISY....a person HYPOCRITE.Double standard ndio undumilakuwili, yaani unakemea rushwa halafu na wewe unaipokea/kutoa.
Kwa maneno mengine ni ile tabia ya kutenda tofauti na ukisemacho.
Double standard is a rule or principle that is unfairly applied in different ways to different people or group.
Double standard is simply 'ONE RULE FOR US ONE FOR THE OTHERS'....yaani mfano serikali inabomolea wananchi waliojenga jangwani lakini haigusi yale majengo ya DART pale pale jangwaniHili neno Nimeliona mara kadhaa humu Jf ila kiukweli sijui maana yake
Nisaidieni
Nilikosa msamiati tu, ila tafsiri kwenye aya ya mwisho ndio hiyo hiyo hypocricy(unafki).no...thats HYPOCRISY....a person HYPOCRITE.