Nikimuona Sungura

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,209
4,406
Kama namuona paka,batini aniwangia.
Masinzi amejipaka,manganje anichezea.
Nganjeiche airuka,uso anitazamia.
Moyoni ninamashaka,nikimuona sungura.
Shairi:NIKIMUONA SUNGURA.
mtunzi:Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0655519736.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom