Husika Na kichwa cha habari hapo juu,nataka kujifunza lugha tofauti Ili niwe mkalimani,kuhusu uhitajika wa wakalimani ktk soko la kazi Hilo sina uhakika nalo ila nikijua hizi lugha nitafurahi...
Hi to every body....!!
Katika harakati za maisha ya kila siku migogoro mingi inayotokea huwa inasababishwa na ujumbe unaopatikana kwenye hii statement.."the desire to cheat and the refusal to...
Salamu wana JF.
Naafahamu neon fund humaanisha Fedha kwa Kiswahili, lakini kuna wakati huwa linamaanisha Mfuko au Fuko (hapa nashindwa kuelewa ni lipi neno muafaka maana kwa mfano IMF huwa kuna...
Kuna siku nilifungua tv nikakutana na wimbo wenye mahadhi ya nyimbo za kienyeji ukiimbwa na dada mmoja mwenyeji wa mkoa wa kagera. Wimbo ulipoisha, mtangazaji akasema:Wapendwa watazamaji, huyo...
Naamini tumekuwa tukijiuliza hili swali na baadhi kupotezea.
>>>>>
Hili ni moja ya jibu nililokutana nalo;
Although English is gender neutral and has no feminine and masculine distinctions...
Wadau naomba kujuzwa maana sahihi ya neno 'kughushi'. Endapo mtu alitumia cheti cha mtu mwingine kuingia sekondari na akasoma mwenyewe hadi chuo kikuu atakuwa ameghushi? Kama ndiyo mnasemaje kwa...
Wakati mwingine nikisoma maandiko mbali mbali huwa najiuliza ule usanifu wa Lugha waliokuwa nao mababu zetu na wale manju waliosifika zamani umekwenda wapi? Hata nyimbo zinazotungwa siku hizi zina...
Najua kuna huu mfumo wa STAKABADHI GHALANI kwa wakulima wa mazao ya kibiashara.
Mie mwenzenu ninapitwa na mengi basi naomba anaeufahamu huu mfumo anijuze.
Tafadhali tumia lugha rahisi ya...
Napenda kujua maana halisi ya hili neno #period unakuta mtu anaongea au anachangia mada hasa kidhungu then anamalizia na neno #period napenda kujua huwa linamaanisha nini hasa,,,kuuliza sio ujinga
1)hakuna tena umimi,kwenye dunia ya sasa.
Umoja ndio ukumi,kwa kizazi cha kisasa.
Kila wa roho ya ami,atajaliwa na kasa.
Ataponzwa na ulimi,kwa kutamani lumbesa.
Kama wewe ndio mimi,basi mimi...
THIBIBISHA KAULI HII KWA KUTOA SABABU IMARA SITA"waandishi wa kazi za fasihi huandika kwa kuzingatia mambo ya kwenye jamii zao lakni huwa zina ingiliana tu"THIBITISHA USEMI HUU KWA KUTOA POINTI...
-S1mba
Nakuhitaji rafiki,
Ulienifaa kwa dhiki,
Nasema bila unafiki,
Safari bado hata kesho hatufiki,
Nilikuhitaji ili kusema,
Kukosoa au sifia mema,
Kuandika na watu kusoma,
Bila wewe...
Habar ndugu wana jamii? Kama kichwa cha habar kinavyoelekeza hapo juu, kam kuna mtu atakuwa anataka kujifunza kihispania kwa bei nafuu kabisaa kwa siku ambayo ni elfu 15 pekee, ani pm!! Ahsanteni
Katika maisha yangu, nimekuwa taabani ,
Kwenye huu mti wangu, ukiwapo mashakani,
Kila penye jua chungu, hujikalia pembeni,
Ni maisha yangu jani, katu hutoyatamani,
Kwangu sithaminiki, nafuu...
Za Jumapili wana JF wote,
Nimefatilia sana haya maneno kwa baadhi ya watu mbali mbali na nikagundua watu wanajichanganya sana katika kuyatumia.
✔Salon ni sehemu ambayo unaweza ukapata...
when I born, I black
when I grow up, I black
when I go in sun, I black
when I scared, I black
when I sick, I black
when I die, I still black
and you white fellow
when you born, you pink...
I have studied in Kenya from Kindergaten to Tertiary level and I have lived in TZ long enough to grasp both English and Kiswahili just to clear your doubt on my ability and capability.
CALL 0713881242
Habari zenu wana forum
najua hapa kuna wataalamu wa lugha.
naomba mnifundishe.. ikiwa kaka yangu akioa mke . mimi nitasema KAKA YANGU ANA MKE
sasa KAKA ZANGU WAKIOA NITASEMA KAKA ZANGU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.