?Africa?s Plea?
By Roland Tombekai Dempster
I am not you ?
but you will not
give me a chance
will not let me be me
?If I were you? ?
but you know
I am not you,
yet you will not
let me be...
Swahili Basics Swahili is one of the easiest languages to learn. Here are a few basic things to know about Swahili:
Swahili verbs always carry with them the subject (and sometimes...
Wanajamvi habari zenu! Kwa wale eanaojua kipimbwe, lugha inayozungumzwa wilaya ya Mpanda sehem iitwayo Mpimbwe atokako Mizengo Pinda. Ninataka kukusanya msamiati wa vyakula vya aina zote...
Nilikuwa napitia hand out ya ndugu yangu anasoma chuo Diploma nimekutana na hii sentensi nikaona haipo vizuri sana kimatamshi na ikaleta ubishi kidogo.
"Are commodities that satisfy our wants...
1)nilitembea porini,nilipo kwenda kuwinda,kwenye mbuga yenye nyoka.
Moyoni ninaamini,hakuna cha kunishinda,nnge swala pia nyoka.
Podo yangu mgongoni,na mshale ulopinda,haraka nikashituka...
)Mkonini nashika chaki,utao
nauandika.
Siyo kama mi sitaki,mloto unasomeka.
Na vaa vazi la kaki,ukwapi
unazinduka.
Mtamu usi na dhiki,kama pindu
kaumbika.
Darasa la mafahali,makomando...
Hili suala la kuitana vigogo, kigogo chanzo chake kilikuwa ni nini na wapi, Na pia nini hasa tafsiri ya neno kigogo.
Kuna
Kigogo wa serikali.... kigogo wa tra akamatwa.
Kigogo wa CHADEMA...
MWANA SIKIZA MGANGA
1.
Umefika kwa mganga,karibu binti wa Vanga,
Hapo usiwe na shanga, uvue na hiyo khanga
kaniki utajifunga, kisha kamata usinga.
Shika neno la...
Tomatoes
People think I am a cannibal
But you know what people say
People see I?ve got red gums but who has
White ones
Up the tomatoes
People say there are not nearly so...
Habari wana Jf,
ni kiswahili cha lafudhi gani ukisikiapo unatamani mzungumzaji aendelee kuzungumza kutokana na raha na burudani unayoipata, binafsi mimi hupendelea sana kiswahili cha lafudhi...
The price seemed reasonable, location
Indifferent. The landlady swore she lived
Off premises. Nothing remained
But self-confession. 'Madam' , I warned,
'I hate a wasted journey - I am...
Limetumika sana kipindi cha uchaguzi na watangazaji wa Azam TV. Utawasikia "John Magufuli anakuwa rais takriban wa 5". Mimi nahisi kama wanachemka hivi. Nilidhani takriban ni kama...
Tuipende Tanzania nchi Tuliyo Zaliwa
Kuna mlima mrefu, kwa sifa twajivunia
ukiwekwa kwenye safu, urefu kuukadiria
Hapawi ulinganifu, Africa yote pia
Tuipende Tanzania nchi tuliyo zaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.