Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,205
- 4,403
UJINGA WA MWAFRIKA,FURAHA YA
MZUNGU.
1)ni uchu wa madaraka,ndio
unaotuponza.
ama kili zimechoka.
tumekuwa takataka,kwa jalala lenye
funza.
ujinga wa muafrika,ni furaha ya
mzungu.
2)wao mbona waungana,sisi
kutengana ywanza.
tena huku twagombana,na mabaya
tunafunza.
makabila twapigana,wao umoja
watunza.
ujinga wa muafrika,ni furaha ya
mzungu.
3)sisi vita kila siku,kwao amani
yaanza.
tunapigana kila,kutengana tunafunza.
kuachana kwa masiku,tupake chumvi
uvinza.
ujinga wa muafrika,ni furaha ya
mzungu.
shairi:UJINGA WA MUAFRIKA NI
FURAHA YA MZUNGU.
mtunzi:Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0765382386.
MZUNGU.
1)ni uchu wa madaraka,ndio
unaotuponza.
ama kili zimechoka.
tumekuwa takataka,kwa jalala lenye
funza.
ujinga wa muafrika,ni furaha ya
mzungu.
2)wao mbona waungana,sisi
kutengana ywanza.
tena huku twagombana,na mabaya
tunafunza.
makabila twapigana,wao umoja
watunza.
ujinga wa muafrika,ni furaha ya
mzungu.
3)sisi vita kila siku,kwao amani
yaanza.
tunapigana kila,kutengana tunafunza.
kuachana kwa masiku,tupake chumvi
uvinza.
ujinga wa muafrika,ni furaha ya
mzungu.
shairi:UJINGA WA MUAFRIKA NI
FURAHA YA MZUNGU.
mtunzi:Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0765382386.